Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, uongo ni fani?

Uchuku au uongo ama urongo ni hali na tabia ya kutosema kweli; tabia ya kudanganya na hata kutokuwa muwazi. Yupo mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema: ‘...lying is an art’ akimaanisha ya kwamba ‘tabia ya kusema uongo ni kipaji’ ama ni sanaa ya aina ya kificho na kipekee pia. Kipaji ni uwezo fulani alionao mtu unaomwezesha kulifanya jambo vizuri ni kipawa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!

1005224_161118974079176_1902408761_n

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.

Tahariri ya leo Machi 10,  Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.

Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...

 

10 years ago

Mwananchi

Fani katika tamthiliya ya Orodha

Fani ni ufundi wa kisanaa aliotumia mwandishi katika kazi yake. Fani inajumuisha muundo, mtindo, matumizi ya lugha, wahusika na mandhari.

 

11 years ago

Mwananchi

Utalii wa fani ya picha uimarishwe

Moja ya changamoto zinazokabili sekta ya utalii ni utangazaji wa ndani na nje. Sekta hii kwa kweli ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi, lakini mfumo wa utangazaji iliwateja waweze kujua vivutio vilivyoko bado haujaendelea sana.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatua za kuchagua fani ya maisha yako

Uzoefu unaonyesha kuchagua fani limekuwa jambo gumu kwa watu wengi, hususan wanafunzi waliopo shuleni na vyuoni. Makala haya, yakidurusu rejea mbalimbali, yanajaribu kuwasaidia wanafunzi kujua njia bora wanazoweza kutumia kujua ndoto ya maisha yako kitaaluma.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wanafunzi someni fani zenye fursa’

Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira, imeandaa mpango wa kutoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali, ili kuwajenga wasomee fani zenye fursa za ajira.

 

11 years ago

Mwananchi

Fani yangu hasa ni ufundi wa magari

Anaitwa Abdallah Seif ukipenda unaweza kumuita King Kibadeni Mputa, mtoto wa Ilala aliyepachikwa jina la Mputa na Wangoni baada ya kuikacha Simba na kukimbilia kuichezea Majimaji ya Songea mwaka 1978.

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA PRODYUZA WA 2PAC KUENDELEZA FANI YA MUZIKI

Mtoto  wa Prodyuza maarufu marehemu Tupac Omar Shakur ‘2 Pac’, Zhani Jackson Na Arme Nando Zhani Jackson (20), mtoto wa kike wa prodyuza maarufu wa marehemu Tupac Omar Shakur ‘2 Pac’, Johnny Lee Jackson ‘Johnny J’ aliyemtengenezea ngoma kali kama How Do u Want It, Picture Me Rolling  na albumu nzima ya Me Against the World na All Eyes On Me amefunguka kwamba anatamani kuingia katika...

 

10 years ago

Bongo5

Mansu-Li arudi shule kusomea fani ya manunuzi

Rapper wa kundi la Capitol Letters, Mansu-Li amerudi shule kusomea fani ya manunuzi ijulikanayo kama ‘Procurement and Logistics katika chuo cha Tanzania cha mahesabu, TAA, mkoani Mtwara. Akiongea na kipindi cha New Chapter cha Radio Free Africa, hivi karibuni, rapper huyo alidai kuwa ameamua kurudi shule ili kujihakikisha mustakabali mzuri wa maisha yake kwakuwa muziki […]

 

9 years ago

Mwananchi

LOTA MOLLEL : Mwanamitindo asiyependa fani yake idharauliwe

Ukizungumzia wanamitindo wanaofanya vizuri katika tasnia ya mitindo, huku wakiwa na juhudi zakuleta maendelea katika familia zao na nchi kwa ujumla huwezi kumsahau Lota Molel.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani