Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fani yangu hasa ni ufundi wa magari

Anaitwa Abdallah Seif ukipenda unaweza kumuita King Kibadeni Mputa, mtoto wa Ilala aliyepachikwa jina la Mputa na Wangoni baada ya kuikacha Simba na kukimbilia kuichezea Majimaji ya Songea mwaka 1978.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, uongo ni fani?

Uchuku au uongo ama urongo ni hali na tabia ya kutosema kweli; tabia ya kudanganya na hata kutokuwa muwazi. Yupo mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema: ‘...lying is an art’ akimaanisha ya kwamba ‘tabia ya kusema uongo ni kipaji’ ama ni sanaa ya aina ya kificho na kipekee pia. Kipaji ni uwezo fulani alionao mtu unaomwezesha kulifanya jambo vizuri ni kipawa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nini hasa fahari ya waimbaji wa Injili?

”KILA mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe siku hiyo ikifika…” Hiki ni kipande cha wimbo ambao ulivuma na kupendwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ni muhimu kujua hasa watumiaji wa matairi vipara

Car Tyres Warrington 1_0

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako).

Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote.

Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne.

 Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, mkopaji ana haki zipi hasa kisheria?

Haki ni stahiki za kisheria ambazo mtu anapaswa azipate au apewe. Wajibu ni majukumu ambayo mtu anapaswa kuyatimiza katika kufanikisha au kukamilisha jambo fulani.

 

10 years ago

Mwananchi

Fani katika tamthiliya ya Orodha

Fani ni ufundi wa kisanaa aliotumia mwandishi katika kazi yake. Fani inajumuisha muundo, mtindo, matumizi ya lugha, wahusika na mandhari.

 

11 years ago

Mwananchi

Utalii wa fani ya picha uimarishwe

Moja ya changamoto zinazokabili sekta ya utalii ni utangazaji wa ndani na nje. Sekta hii kwa kweli ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi, lakini mfumo wa utangazaji iliwateja waweze kujua vivutio vilivyoko bado haujaendelea sana.

 

10 years ago

Raia Mwema

Siku hizi kuna uchangudoa wa kisasa, wa kisiasa hasa

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani