Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku hizi kuna uchangudoa wa kisasa, wa kisiasa hasa

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU KIPALULE: Mamalishe aliyeokolewa kuuza baa, uchangudoa

“KUNA watu wanafikiria kufanya kazi baa ni kupenda, hapana kama mimi niliifanya kazi hiyo na kuuza mwili kutokana na umaskini wa kipato niliokuwa nao na kukosa elimu itakayoweza kuniongoza katika...

 

10 years ago

GPL

AJALI HIZI, KUNA KITU

Ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Nganga na Fuso yakiwaka moto. KWANZA kabisa tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai, hakika yeye anastahili kuabudiwa kila siku.
Baada ya kusema hayo nianze kwa kuwataka wasomaji wangu kutafakari kwa kina hizi ajali za mabasi zinazotokea mara kwa mara katika barabara za nchi yetu. Kwa muda wa siku zisizozidi kumi na nane zimetokea ajali mbaya tatu za mabasi na kusababisha Watanzania wenzetu zaidi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa .

Viongozi wa Chadema/UKAWA kuweni Makini sana na huu mfumo wa BVR bao la mkono liko njiani kufanikiwa. Mkipuuza mtalia kilio ambacho hatapatikana mtu wa kuwafuta machozi. Vitambulisho fake ni vingi sana na hakuna mashine ya kuvitambua […]

The post Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa . appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Bongo5

Kuna kitu cha kujifunza katika video hizi 2 mpya za Burundi zinazochezwa Trace TV

Tasnia ya muziki nchini Burundi ina jambo la kusherehekea mwezi huu baada ya video mbili za wasanii wa huko kupitishwa na kuanza kuchezwa kwenye kituo maarufu cha muziki cha Trace Urban TV. Hiyo ni mara ya kwanza kwa wasanii wa Burundi. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Jigi Jigiwe’ ya Happy Famba na Katoto Rmx ya […]

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kuna wanaoijua na wasioijua siku ya Asteroidi

WIKI iliyopita Juni 30, dunia iliadhimisha siku ya Asteoidi wapo wanaojua na wapo wasiojua kuwa siku hiyo ipo na inasherehekewa kila mwaka, si lazima uwe mwanahisabati bali kila mwanadamu inamuhusu.  

Siku hii ilitengwa miaka mingi iliyopita baada ya asteroidi kuingia Tungusta  na kuteketeza kilometa za eneo zipatazo 2000 katika msitu wa Siberia 30 Juni, 1908. Kwa hiyo  siku hiyo hutumiwa na wanasayansi  hasa wanastronomia kufanya mambo kadhaa yenye  uhusiano na anga za juu.

Baadhi...

 

9 years ago

Mtanzania

Enrico: Hakuna Bongo Fleva siku hizi

NA HERIETH FAUSTINE

MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Sound Crafters, Enrico Figueroa ‘Enrico’, amesema nyimbo zote
zinazotoka siku hizi hazina ubora, ndiyo maana haziwezi kudumu hata kwa miaka miwili.

“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea, hakuna
Bongo Fleva ya kukaa miaka miwili,” alisema Enrico, alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Planet Bongo
kinachorushwa na kituo cha runinga cha EATV.

Aliongeza kwamba ili wimbo...

 

9 years ago

Global Publishers

Siyo kinyozi tena, siku hizi ni saluni!

Hapo zamani za kale wakati wa enzi zetu, mkaka alikuwa akitaka kunyoa nywele anaenda kwa kinyozi na kinyozi alikuwa mwanaume. Mdada akitaka kunyoa nywele zake anamtafuta mdada mwenzie amnyoe nywele.

Vinyozi walikuwa wa aina kuu mbili walikuweko wale vinyozi ambao shughuli zao walizifanyia chini ya mti, na wengine ndiyo walikuwa wanakuwa na chumba ambacho nje utakuta kibao kimeandikwa kinyozi.

Kwa kinyozi ndiko kulikokuwa sehemu ya kupata habari mbalimbali za nini kinaendelea katika jamii....

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na Wengi

Picha za mrembo anaefanya vitu vingi hapa mjini kuanzia mitindo, utangazaji,ujasiliamali  hadi uimbaji wa muziki,  Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ alizozitupia leo kwenye ukurasa wake wa mtandaoni zimepokea’ LIKES’ na COMMENTS kutoka kwa wadau na mashabiki wa kike na wakiume huu kila mmoja akisema lake juu ya picha hizo.

Yote kwa yote Kidoti hapo ametokelezea ile sana, kwa upande wetu hizi za Kidoti ndio picha bomba  zaidi kwa siku ya leo kati ya za mastaa wote wa  Bongo Movies.

Tupia mtazamo wako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani