Kuna wanaoijua na wasioijua siku ya Asteroidi
WIKI iliyopita Juni 30, dunia iliadhimisha siku ya Asteoidi wapo wanaojua na wapo wasiojua kuwa siku hiyo ipo na inasherehekewa kila mwaka, si lazima uwe mwanahisabati bali kila mwanadamu inamuhusu.
Siku hii ilitengwa miaka mingi iliyopita baada ya asteroidi kuingia Tungusta na kuteketeza kilometa za eneo zipatazo 2000 katika msitu wa Siberia 30 Juni, 1908. Kwa hiyo siku hiyo hutumiwa na wanasayansi hasa wanastronomia kufanya mambo kadhaa yenye uhusiano na anga za juu.
Baadhi...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Siku hizi kuna uchangudoa wa kisasa, wa kisiasa hasa
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.