Siyo kinyozi tena, siku hizi ni saluni!
Hapo zamani za kale wakati wa enzi zetu, mkaka alikuwa akitaka kunyoa nywele anaenda kwa kinyozi na kinyozi alikuwa mwanaume. Mdada akitaka kunyoa nywele zake anamtafuta mdada mwenzie amnyoe nywele.
Vinyozi walikuwa wa aina kuu mbili walikuweko wale vinyozi ambao shughuli zao walizifanyia chini ya mti, na wengine ndiyo walikuwa wanakuwa na chumba ambacho nje utakuta kibao kimeandikwa kinyozi.
Kwa kinyozi ndiko kulikokuwa sehemu ya kupata habari mbalimbali za nini kinaendelea katika jamii....
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
KASSIM MOHAMED: Kinyozi anayepambana na saluni za kisasa
KUTOKANA na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mambo mengi yamebadilika. Mojawapo ya mambo hayo ni kujiweka nadhifu, iwe kwa mwanamke au mwanamume kwa kutumia vipodozi vya kisasa. Zamani wanawake walikuwa...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Unagombana na dili? ...Hizi siyo akili
11 years ago
GPLDINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA
10 years ago
Bongo Movies16 Feb
PICHA: Faiza Atupia Tena Hizi Akiwa Ufukweni!!!!
Mrembo na muigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja amezibandika picha hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa maeneo ya ufukweni mjini Bagamoyo.
Mbali na ukweli kuwa hapa amevalia nguo za ufukweni, mahabiki wengi wamemshabulia kuwa mavazi haya hayafai kwani yeye sasa hivi ni mama tena amezaa na Muheshimiwa, huku wengine wakisema hapo ndio mahali pake na wa muacha afurahie maisha yake.
Japokuwa ni kweli kuwa Faiza aliwashangaza wengi mwaka jana kwa kuvalia “pampers”...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Enrico: Hakuna Bongo Fleva siku hizi
NA HERIETH FAUSTINE
MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Sound Crafters, Enrico Figueroa ‘Enrico’, amesema nyimbo zote
zinazotoka siku hizi hazina ubora, ndiyo maana haziwezi kudumu hata kwa miaka miwili.
“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea, hakuna
Bongo Fleva ya kukaa miaka miwili,” alisema Enrico, alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Planet Bongo
kinachorushwa na kituo cha runinga cha EATV.
Aliongeza kwamba ili wimbo...
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Siku hizi kuna uchangudoa wa kisasa, wa kisiasa hasa
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Picha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na Wengi
Picha za mrembo anaefanya vitu vingi hapa mjini kuanzia mitindo, utangazaji,ujasiliamali hadi uimbaji wa muziki, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ alizozitupia leo kwenye ukurasa wake wa mtandaoni zimepokea’ LIKES’ na COMMENTS kutoka kwa wadau na mashabiki wa kike na wakiume huu kila mmoja akisema lake juu ya picha hizo.
Yote kwa yote Kidoti hapo ametokelezea ile sana, kwa upande wetu hizi za Kidoti ndio picha bomba zaidi kwa siku ya leo kati ya za mastaa wote wa Bongo Movies.
Tupia mtazamo wako...