Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KASSIM MOHAMED: Kinyozi anayepambana na saluni za kisasa

KUTOKANA na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mambo mengi yamebadilika. Mojawapo ya mambo hayo ni kujiweka nadhifu, iwe kwa mwanamke au mwanamume kwa kutumia vipodozi vya kisasa. Zamani wanawake walikuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Siyo kinyozi tena, siku hizi ni saluni!

Hapo zamani za kale wakati wa enzi zetu, mkaka alikuwa akitaka kunyoa nywele anaenda kwa kinyozi na kinyozi alikuwa mwanaume. Mdada akitaka kunyoa nywele zake anamtafuta mdada mwenzie amnyoe nywele.

Vinyozi walikuwa wa aina kuu mbili walikuweko wale vinyozi ambao shughuli zao walizifanyia chini ya mti, na wengine ndiyo walikuwa wanakuwa na chumba ambacho nje utakuta kibao kimeandikwa kinyozi.

Kwa kinyozi ndiko kulikokuwa sehemu ya kupata habari mbalimbali za nini kinaendelea katika jamii....

 

11 years ago

Tanzania Daima

KHALID KASSIM MOHAMED: Mwanafunzi bora Zanzibar anayelilia uprofesa

“MATARAJIO yangu ni kuendelea na elimu ya juu ili nifikie ndoto zangu za kuisaidia familia na nchi yangu.” Hiyo ni kauli ya Khalid Kassim Mohamed (15), mwanafunzi bora kwa kufanya...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA FUMBA

 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa alipowasili Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali wakati alipowasili...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!

BRAEKI

kasim

Kassim Majaliwa

Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu,  ambaye  ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa  Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...

 

5 years ago

CCM Blog

MOHAMED HIJA MOHAMED ACHUKA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM

Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India Mohamed Hija Mohammed, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa mtu wa 8 kuchukua fomu.

 

10 years ago

Mwananchi

mwanamke anayepambana na ukatili Serengeti

Sirahisi kuzungumzia masuala ya ukatili wa kijinsia,ikiwamo ukeketaji katika Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara usimtaje Sophia Mnandi Mchonvu,kutokana na harakati zake za kupenyeza elimu katika ngome ya wazee wa mila wa kabila la Wakurya.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke anayepambana na ukatili wa kijinsia

Ukiumwa na nyoka ukiona unyasi unashtuka ,ndivyo ilivyokuwa kwa Rhobi Pristiana Samwel (42)mratibu wa nyumba salama iliyo chini ya Kanisa la Anglikana Mugumu Serengeti Dayosisi ya Mara.

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisa wa Polisi anayepambana vikali na ukatili wa kijinsia

Machi nane ya kila mwaka, dunia huazimisha Siku ya Wanawake. Licha ya siku hiyo kuwa ni siku muhimu kwa wanawake wote duniani lakini bado kuna vitendo vingi vya ujanyayasaji wa kijinsia wanavyofanyiwa wanawake ambavyo havilingani na kaulimbiu ya mwaka huu ambayo ni ‘Uwezeshaji Wanawake: Tekeleza Wakati ni sasa’.

 

11 years ago

BBCSwahili

Unajivunia Kinyozi wako?

Maonyesho ya vinyozi kadhaa vilivyo katika mataifa kadhaa Afrika yanaendelea mjini London. Nini hukuvutia katika kinyozi chako?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani