Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ofisa wa Polisi anayepambana vikali na ukatili wa kijinsia

Machi nane ya kila mwaka, dunia huazimisha Siku ya Wanawake. Licha ya siku hiyo kuwa ni siku muhimu kwa wanawake wote duniani lakini bado kuna vitendo vingi vya ujanyayasaji wa kijinsia wanavyofanyiwa wanawake ambavyo havilingani na kaulimbiu ya mwaka huu ambayo ni ‘Uwezeshaji Wanawake: Tekeleza Wakati ni sasa’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke anayepambana na ukatili wa kijinsia

Ukiumwa na nyoka ukiona unyasi unashtuka ,ndivyo ilivyokuwa kwa Rhobi Pristiana Samwel (42)mratibu wa nyumba salama iliyo chini ya Kanisa la Anglikana Mugumu Serengeti Dayosisi ya Mara.

 

10 years ago

Michuzi

POLISI WAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi,Dodoma
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kukomesha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Hayo aliyasema jana wakati akifunga semina ya mafunzo ya siku tano yaliyotolewa  kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wadau wa Jeshi hilo katika mkoa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

mwanamke anayepambana na ukatili Serengeti

Sirahisi kuzungumzia masuala ya ukatili wa kijinsia,ikiwamo ukeketaji katika Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara usimtaje Sophia Mnandi Mchonvu,kutokana na harakati zake za kupenyeza elimu katika ngome ya wazee wa mila wa kabila la Wakurya.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KIGOMA WAMEKUWA NA MWAMKO MKUBWA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAKATI MADAWATI YA JINSIA YA POLISI

Editha Karlo,Kigoma.
WANANCHI wa Mkoa wa Kigoma wamekuwa na mwamko wa kutoa taarifa kwa wakati kwenye madawati ya jinsia  ya polisi juu ya matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na watoto  yanayowatokea.

Akisoma taarifa kwa  kwa balozi wa umoja wa ulaya Manfredo Fanti,Mkuu wa dawati la jinsia  ofisi za Kigoma mjini Inspeta Doris alisema kuwa kutokana na elimu ambayo wameitoa kuhusu ukatili wa jinsia na watoto pamoja na umuhimu wa kutoa taarifa  kwa wakati mara wanaposhuhudia tukio...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto

 Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, akitoa neno mbele ya washiriki askari Polisi na wadau wengine wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto yaliyofanyika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,wakati akifunga rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano.Washiriki wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto wakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia ukomeshwe

MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukatili wa kijinsia jeshini ukomeshwe

Waziri wa ulinzi wa Marekani Chuck Hagel amesema wizara yake imepiga hatua katika kukomesha ukatili wa kijinsia jeshini.

 

11 years ago

Habarileo

Ukatili wa kijinsia wachochea Ukimwi

IMEELEZWA kuwa ukatili wa kijinsia ni mojawapo ya njia kuu inayoeneza Ukimwi na ongezeko lolote la vitendo hivyo linachochea pia ongezeko la maambukizo. Kauli hiyo imetolewa na Meneja mradi wa kupambana na ukatili wa kijinsia ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi, Muhammad Hassan kutoka Shirika la WOWAP.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani