Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI WAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi,Dodoma
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kukomesha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Hayo aliyasema jana wakati akifunga semina ya mafunzo ya siku tano yaliyotolewa  kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wadau wa Jeshi hilo katika mkoa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA WATOTO

Na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kukomesha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Hayo ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa semina ya mafunzo ya siku tano yanayotolewa kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Dar es salaam, ambapo...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto

 Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, akitoa neno mbele ya washiriki askari Polisi na wadau wengine wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto yaliyofanyika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,wakati akifunga rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano.Washiriki wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto wakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wajipanga kukomesha mauaji ya vikongwe

JESHI la Polisi nchini lipo katika hatua za mwisho kukamilisha mikakati ya kuanzisha mradi wa Vikongwe na Makazi salama ili kuwanusuru wazee wanaouawa kutokana na imani potofu za kishirikina. Akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI MWANZA

Mwanaharakati toka Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI la jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo ya siku moja kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili Dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii.
Semina hiyo iliyoandaliwa na Teen Club Mwanza, ililenga Kujenga uwezo wa kutambua ukatili na unyanyasaji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisa wa Polisi anayepambana vikali na ukatili wa kijinsia

Machi nane ya kila mwaka, dunia huazimisha Siku ya Wanawake. Licha ya siku hiyo kuwa ni siku muhimu kwa wanawake wote duniani lakini bado kuna vitendo vingi vya ujanyayasaji wa kijinsia wanavyofanyiwa wanawake ambavyo havilingani na kaulimbiu ya mwaka huu ambayo ni ‘Uwezeshaji Wanawake: Tekeleza Wakati ni sasa’.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KIGOMA WAMEKUWA NA MWAMKO MKUBWA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAKATI MADAWATI YA JINSIA YA POLISI

Editha Karlo,Kigoma.
WANANCHI wa Mkoa wa Kigoma wamekuwa na mwamko wa kutoa taarifa kwa wakati kwenye madawati ya jinsia  ya polisi juu ya matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na watoto  yanayowatokea.

Akisoma taarifa kwa  kwa balozi wa umoja wa ulaya Manfredo Fanti,Mkuu wa dawati la jinsia  ofisi za Kigoma mjini Inspeta Doris alisema kuwa kutokana na elimu ambayo wameitoa kuhusu ukatili wa jinsia na watoto pamoja na umuhimu wa kutoa taarifa  kwa wakati mara wanaposhuhudia tukio...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Pombe chanzo cha unyanyasaji wa kijinsia’

MRATIBU wa Kituo cha Usuluhishi (CRC) kinachoratibiwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa), Elizabeth Muhangwa, amesema unywaji wa pombe unasababisha unyanyasaji wa kijinsia katika familia. Muhangwa alitoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kumwepusha mtoto na unyanyasaji kijinsia

HARAKATI mbalimbali zimefanywa ili kuwanusuru watoto na wimbi la unyanyaswaji wa kijinsia, lakini kila siku vyombo vya habari vinaripotiwa habari mpya kuhusu jambo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani