Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA POLISI LAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA WATOTO

Na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kukomesha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Hayo ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa semina ya mafunzo ya siku tano yanayotolewa kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Dar es salaam, ambapo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

POLISI WAJIPANGA KUKOMESHA UKATILI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Na Demetrius Njimbwi - Jeshi la Polisi,Dodoma
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, amewataka askari wote nchini hususan wale waliopo katika dawati la jinsia kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kukomesha vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.
Hayo aliyasema jana wakati akifunga semina ya mafunzo ya siku tano yaliyotolewa  kwa Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wadau wa Jeshi hilo katika mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto

 Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, akitoa neno mbele ya washiriki askari Polisi na wadau wengine wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto yaliyofanyika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,wakati akifunga rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano.Washiriki wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto wakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tushirikiane kukomesha ukatili kwa watoto

VITENDO vya ukatili kwa watoto nchini vinazidi kushamiri kila siku na mbaya zaidi wahusika wa vitendo hivyo ni ndugu na jamaa zao wa karibu. Hali hii ni ya kusitisha, kwani...

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi la Polisi lajipanga kukabili uhalifu Pasaka

Advera BulimbaJESHI la Polisi nchini limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya uhalifu na kuwa makini na mali zao wakati huu wa sikukuu ya Pasaka.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi nchini lajipanga kukabili vurugu

Jeshi la polisi nchini limejipanga kuchukua hatua kwa kikundi ama chama chochote cha siasa kinachotarajia kufanya vurugu wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya ubunge, udiwani na urais Oktoba 25 mwaka huu kutokana na kuwepo kwa kauli za baadhi ya watu kuanza kuwahamasisha vijana kutokukubaliana na matokeo kabla muda wa kupiga kura haujafika.

Akizungumza na wadau wa amani mjini Musoma mkoani Mara, mkuu wa jeshi la polisi nchini Kamishina wa jeshi la polisi Ernest Mangu ametoa tahadhari hiyo kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpango kukomesha ukatili kwa watoto wazinduliwa

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali imezindua mpango wa pamoja  wa kukomesha ukatili dhidi ya watoto. Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam jana, Mwakilishi wa  Shirika...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAJIPANGA KUTOA USHIRIKIANO KWA WAONGOZA UTALII WAKATI HUU WA CORONA

Na Woinde Shizza,Arusha

Jeshi la polisi Mkoa wa Arusha,limejipanga kutoa ushirikiano kwa waongoza utalii mkoani hapa katika kipindi hiki ambacho wanatarajia kuanza kupokea watalii kwa vingi baada ya ugonjwa wa Corona kupungua kwa kiasi kikubwa hapa nchini.

Akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku sita ya wadau wa utalii yaliyoandaliwa na chama cha waongoza utalii Tanzania (TSG)jijini hapa,Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha,Jonathan Shanna alisema kuwa jeshi hilo lipo imara kuimarisha ulinzi...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI MWANZA

Mwanaharakati toka Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI la jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo ya siku moja kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili Dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii.
Semina hiyo iliyoandaliwa na Teen Club Mwanza, ililenga Kujenga uwezo wa kutambua ukatili na unyanyasaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani