DINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA
Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’. Na Mwandishi Wetu SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ sasa upo hadharani. Kwa muda mrefu Dina na Ruben wamekuwa kwenye uhusiano lakini wamekuwa wakijitahidi kuuficha usijulikane na watu, lakini hata hivyo watu wa karibu hasa wanaofanya nao kazi, walifahamu juu ya uhusiano huo. Akizungumza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDINA MARIOS AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME
9 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi9 years ago
Bongo529 Oct
Dina Marius airejesha tena Kitchen Party Gala
10 years ago
Habarileo07 Nov
‘Waraka kutangaza Katiba siyo wa siri
SERIKALI imekiri kuutambua waraka unaodaiwa kuwa ni wa siri wa Serikali wa kuitangaza Katiba pendekezwa.
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Siyo kinyozi tena, siku hizi ni saluni!
Hapo zamani za kale wakati wa enzi zetu, mkaka alikuwa akitaka kunyoa nywele anaenda kwa kinyozi na kinyozi alikuwa mwanaume. Mdada akitaka kunyoa nywele zake anamtafuta mdada mwenzie amnyoe nywele.
Vinyozi walikuwa wa aina kuu mbili walikuweko wale vinyozi ambao shughuli zao walizifanyia chini ya mti, na wengine ndiyo walikuwa wanakuwa na chumba ambacho nje utakuta kibao kimeandikwa kinyozi.
Kwa kinyozi ndiko kulikokuwa sehemu ya kupata habari mbalimbali za nini kinaendelea katika jamii....
11 years ago
GPLMCHUMBA WA SI SIRI TENA!