MCHUMBA WA SI SIRI TENA!
![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf0zvVPCjha5Ey0s594DnGuIZHrb-ybkpO7S-eNRfZW8Z8eHdSHSb*bh0dfwWxoThwPXhSv3ZR6i-kRzNz0C1RPf/lulu.jpg?width=650)
Hamida Hassan, Mayasa Mariwata na Galdness Mallya HAYAWIHAYAWI hatimaye yamekua! Siku chache baada ya sexy lady wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kutangaza sifa za mwanaume atakayemchumbia, amejitokeza mtu anayetaka kuchukua jumla na si siri tena, Amani limenyetishiwa. Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. SIFA ZAKE Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa familia ya staa huyo anayekimbiza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo508 Sep
Exclusive Pics: Mchumba wa Nay wa Mitego, Siwema ni mjamzito tena!
9 years ago
Bongo510 Oct
Mchumba wa Bobbi Kristiana hatiani tena, adaiwa alimchanganyia pombe hatari
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini
![](https://4.bp.blogspot.com/-yF_B61RPSXE/UwNobcg0nQI/AAAAAAAABqg/22IqbDfuLN4/s1600/OSCAR.jpg)
Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
11 years ago
GPLDINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA
10 years ago
Bongo Movies25 Apr
Sio Siri tena: Nay wa Mitego, Shamsa Mke na Mume!
Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa wanaishi kama mke na mume.
Baada ya kutonywa ‘mchapo’ huo, gazeti la Risasi liliwadamkia nyumbani kwa Nay maeneo ya Kimara-Korogwe jijini Dar na kumkuta Shamsa akiwa na kanga moja.Mwanahabari wetu, baada ya kufika nyumbani hapo mishale ya asubuhi alikuwa bega kwa bega kuwafuatilia...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar02 Oct
CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI
Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]
The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Waficha siri wanapozifichua siri
Na Rashid Abdallah Kule Zanzibar kulisemwa kuwa, hatutoi nchi kwa makaratasi (yaani ushindi hautolewi kwa kura),kisha Jakaya anakazia kwa kusema kuwa wao ni wazoefu wa kutumia mbinu, ni wazoefu wa kushinda kwa mbinu, Nape Nauye anashindia […]
The post Waficha siri wanapozifichua siri appeared first on Mzalendo.net.