Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchumba wa Bobbi Kristiana hatiani tena, adaiwa alimchanganyia pombe hatari

Nick Gordon, anakabiliwa na mashtaka mapya kwamba alimchanganyia mpenzi wake Bobbi Kristina Brown vilevi vyenye madhara, kwa mujibu wa nyaraka mpya za mahakamani zilizopatikana Ijumaa hii. Mashtaka hayo yanadai “Ms. Brown died due to a violent altercation with Defendant (Gordon) after which he placed her in a bathtub, unconscious, after he injected her with a […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MCHUMBA WA BOBBI KRISTINA HUENDA AKAWA MATATANI


Habari ambazo Vijimambo imezipata, Bobbi Kristina alikutwa na michubuko ambayo bado haijajulikana imetokana na nini japo bado Polisi wanaendelea na uchunguzi ikiwa Nick Gordon na rafiki yake waliokuwepo kwenye tukio wakiwa wamehojiwa na polisi wa jimbo la Georgia.

Polisi inajaribu kutafuta saa moja kabla ya Bobbi Kristina kukutwa bafuni ni nini kilichokua kikiendelea kati ya hao wapenzi wawili. Vijimambo imepata taarifa Max Lomas rafiki ya wawili hao aliyemgundua Bobbi Kristina akiwa...

 

11 years ago

GPL

MCHUMBA WA MTU AZIMIKA BARABARANI, POMBE YATAJWA

Na Andrew Carlos na Denis Mtima
Msichana mmoja aliyetajwa kwa jina la Halima aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu, hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kukutwa amezimika barabarani. Msichana aliyetambulika kwa jina la Halima akiwa hajitambui baada ya kulewa chakali Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kijitonyama jijini Dar ambapo ilidaiwa kuwa, binti huyo akiwa amevalia kimini alishuka kwenye Bajaj na kwenda...

 

11 years ago

GPL

MCHUMBA WA SI SIRI TENA!

Hamida Hassan, Mayasa Mariwata na Galdness Mallya
HAYAWIHAYAWI hatimaye yamekua! Siku chache baada ya sexy lady wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kutangaza sifa za mwanaume atakayemchumbia, amejitokeza mtu anayetaka kuchukua jumla na si siri tena, Amani limenyetishiwa. Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. SIFA ZAKE
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa familia ya staa huyo anayekimbiza...

 

10 years ago

Bongo5

Exclusive Pics: Mchumba wa Nay wa Mitego, Siwema ni mjamzito tena!

Baada ya kuharibika kwa mimba ya kwanza ya mchumba Nay Wa Mitego, Siwema, hatimaye mwanadada huyo anatatarajia kuwa mama tena na anatarajia kujifungua hivi karibuni. Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema “Umemuona mama kijacho,” Nay alimwambia wa Bongo5 baada ya kutembelewa na mpenzi wake katika uwanja ndege wa Mwanza akijiandaa kuekelea Dar es […]

 

9 years ago

Global Publishers

Nora adaiwa kuwa chizi tena!

558246_160632094084448_1672048294_nMwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’.

Na Brighton Masalu
NURU Nassoro ‘Nora’ ambaye ni mwigizaji wa kitambo Bongo,anadaiwa kuugua uchizi kwa mara nyingine tena, jambo ambalo amelipinga vikali na kwamba wabaya wake wameendelea kumtakia mabaya katika maisha yake, lakini yuko safi na anaendelea na maisha yake.

Mwanzoni mwa wiki hii, mmoja wa rafiki zake wa karibu aliliambia gazeti hili kuwa, uzushi na uvumi huo ulianza kuenezwa wiki mbili zilizopita, hali iliyosababisha watu wengi,...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO ADAIWA KUTAPELI TENA!

Na Andrew Carlos MWANAMUZIKI mkali wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amedaiwa tena kuhusika katika utapeli wa shilingi milioni mbili. Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando. Muandaaji wa shoo hiyo, Ibrahim alidai kuwa Rose alitumiwa kiasi hicho cha pesa kama sehemu ya malipo ya kazi hiyo iliyokuwa ifanyike Jumapili iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Landmark uliopo Ubungo, jijini Dar lakini hakutokea. “Huu ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Tutegemee tena Bajeti ya sigara, pombe, soda?

Bajeti ya Serikali kwa mwaka ujao wa fedha itawasilishwa kesho bungeni mjini Dodoma.

 

10 years ago

CloudsFM

Tifu laibuka tena! Shilole adaiwa kutaka kumpasua na chupa Nuh Mzuwanda.

Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movie,Shilole amedaiwa kutaka kumpiga tena mpenzi wake ambaye pia ni msanii Nuh Mziwanda kwa chupa hivi karibuni wakiwa kwenye sherehe ya kuzaliwa meneja wa msanii Kajala,aitwaye Lamata iliyofanyika pande za Samaki Samaki,Posta,jijini Dar.Katika tukio hilo habari zinasema kuwa Shilole alikuwa amelewa sana na kwamba walikuwa wamekaa sehemu tofauti na Nuh Mziwanda,ghafla sehemu aliyokuwa amekaa Nuh na wasanii wengine ilirushwa chupa ambayo ilikuwa ikimlenga msanii...

 

11 years ago

Michuzi

KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini


Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam.  Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani