Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tifu laibuka tena! Shilole adaiwa kutaka kumpasua na chupa Nuh Mzuwanda.

Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movie,Shilole amedaiwa kutaka kumpiga tena mpenzi wake ambaye pia ni msanii Nuh Mziwanda kwa chupa hivi karibuni wakiwa kwenye sherehe ya kuzaliwa meneja wa msanii Kajala,aitwaye Lamata iliyofanyika pande za Samaki Samaki,Posta,jijini Dar.Katika tukio hilo habari zinasema kuwa Shilole alikuwa amelewa sana na kwamba walikuwa wamekaa sehemu tofauti na Nuh Mziwanda,ghafla sehemu aliyokuwa amekaa Nuh na wasanii wengine ilirushwa chupa ambayo ilikuwa ikimlenga msanii...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

NUH MZUWANDA KUMUOA SHILOLE

Staa wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda ameweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake,Zuwena Mohamed’Shilole’kwa wazazi wake na kwamba ana mpango wa kumuoa msanii huyo.Kwa mujibu wa baba mzazi wa msanii huyo aitwaye Mzee Mlawa amefunguka kwenye U heard na Soudy Brown amesema kuwa mwanaye huyo alimueleza kuwa anataka kumuoa mchumba wake huyo(Shilole).‘’Mi sina tatizo kama wamependana waache waoane tu nasubiri wajukuu tu’’alisema baba Nuh Mziwanda. Aidha amefunguka kuwa mkwe wake huyo alimuona...

 

9 years ago

GPL

SHILOLE: NISIPOOLEWA NA NUH, SIOLEWI TENA!

IMELDA MTEMA MREMBO kunako miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kama hatafunga ndoa na mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ basi hataki kuolewa tena na mwanaume mwingine. Mrembo kunako miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na Amani Shilole alisema kuwa, kwa sasa ameshajichora mwilini tatuu zaidi ya mbili za jina la mpenzi wake huyo na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena

LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

 

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema

 

“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”

 

Kwanza kabisa...

 

10 years ago

Mwananchi

Sakata la jengo la ATCL kupigwa mnada laibuka tena

Kampuni tatu zimewasilisha maombi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara zikitaka jengo la Makao Makuu ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) lenye thamani ya Sh12 bilioni lipigwe mnada kufidia madeni yao yanayofikia zaidi ya Sh2 bilioni.

 

10 years ago

GPL

SHILOLE, NUH WAPATANISHWA

Imelda Mtema BAADA ya kujinadi kwa mbwembwe nyingi mitandaoni kuwa wamemwagana, hatimaye wapendanao, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wamepatanishwa na kufungua ukurasa mpya wa ‘malovee’, Risasi Mchanganyiko linakumegea. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1ONXbKF

 

10 years ago

GPL

SHILOLE, NUH MZIWANDA

IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie kwanza Nuh: Staa wa Mduara,...

 

10 years ago

GPL

CATHY ADAIWA KUTAKA KURUDI BONGO MOVIE

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ambaye aliripotiwa kuondoka katika kundi maarufu la Bongo Movie Unity, anadaiwa kutaka kurejea kundini baada ya kuona anakosa madili. Staa wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Chanzo kilicho karibu na msanii huyo kimesema maisha mazuri aliyokuwa akiishi ndani ya kundi hilo, kwa kupata mishemishe za kila mara, ndizo hasa...

 

10 years ago

GPL

Penzi la Shilole na Nuh layeyuka

Bongo Fleva na mwigizaji, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole a.k.a Shishi Beiby na msanii mwenzake Nuh Mziwanda. LILE penzi lililotikisa Bongo kati ya mwanadada mrembo ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na mwigizaji, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole a.k.a Shishi Beiby na msanii mwenzake Nuh Mziwanda, limevunjika ghafla wikiendi iliyopita. Soma zaidi ====>http://bit.ly/1HEbRcq ...

 

9 years ago

GPL

SHILOLE KUMCHORA NUH KALIONI

STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema ana mpango wa kuchora tena jina la mpenzi wake, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye moja ya kalio lake ikiwa ni njia mojawapo ya kuonyesha mapenzi yake ya dhati kwake. Akizungumza na mwandishi wetu, Shilole alisema kuwa Nuh amemchora jina lake kwa ukubwa sana na yeye kuonyesha jinsi gani anamthamini, ameona si vibaya kama atamchora ‘tatoo’ nyingine kwenye kalio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani