SHILOLE KUMCHORA NUH KALIONI

STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema ana mpango wa kuchora tena jina la mpenzi wake, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye moja ya kalio lake ikiwa ni njia mojawapo ya kuonyesha mapenzi yake ya dhati kwake. Akizungumza na mwandishi wetu, Shilole alisema kuwa Nuh amemchora jina lake kwa ukubwa sana na yeye kuonyesha jinsi gani anamthamini, ameona si vibaya kama atamchora ‘tatoo’ nyingine kwenye kalio...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo517 Oct
Shilole kuchora tattoo nyingine ya Nuh Mziwanda kalioni!
11 years ago
GPL
SHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
GPL
SHILOLE, NUH WAPATANISHWA
11 years ago
GPL
SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH
10 years ago
GPL
Penzi la Shilole na Nuh layeyuka
11 years ago
CloudsFM16 Jul
NUH MZUWANDA KUMUOA SHILOLE
Staa wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda ameweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake,Zuwena Mohamed’Shilole’kwa wazazi wake na kwamba ana mpango wa kumuoa msanii huyo.
Kwa mujibu wa baba mzazi wa msanii huyo aitwaye Mzee Mlawa amefunguka kwenye U heard na Soudy Brown amesema kuwa mwanaye huyo alimueleza kuwa anataka kumuoa mchumba wake huyo(Shilole).
‘’Mi sina tatizo kama wamependana waache waoane tu nasubiri wajukuu tu’’alisema baba Nuh Mziwanda. Aidha amefunguka kuwa mkwe wake huyo alimuona...
10 years ago
Bongo Movies08 Jun
Nuh, Shilole Watafuta Mtoto
Nuh Mziwanda, baada ya kuvuka kihunzi cha skendo ya kumpachika mimba binti, na kupelekea msukosuko katika penzi lake na Shilole, hatimaye ameongea na eNewz na kueleza mipango yake ya kuzaa mtoto na Shilole.
Nuh ameileza eNewz kuwa, yeye pamoja na Shilole wanapenda sana kupata mtoto wao, ila anafahamu kuwa hiyo ni mipango ya Mungu na wakati wowote kutoka sasa ikitokea baraka hiyo watafurahi, huku akiweka mipango ya ndoa baada ya kutambulishana kwa wazazi.
Eatv.tv
10 years ago
GPL
SHILOLE: NISIPOOLEWA NA NUH, SIOLEWI TENA!
10 years ago
GPL
SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA