MCHUMBA WA MTU AZIMIKA BARABARANI, POMBE YATAJWA
Na Andrew Carlos na Denis Mtima Msichana mmoja aliyetajwa kwa jina la Halima aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu, hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kukutwa amezimika barabarani. Msichana aliyetambulika kwa jina la Halima akiwa hajitambui baada ya kulewa chakali Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Kijitonyama jijini Dar ambapo ilidaiwa kuwa, binti huyo akiwa amevalia kimini alishuka kwenye Bajaj na kwenda...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Oct
Mchumba wa Bobbi Kristiana hatiani tena, adaiwa alimchanganyia pombe hatari
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Barua ya wazi kwa Rais Dr. John Pombe Magufuli kutoka kwa mdau wa Usalama Barabarani
Ndugu Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, nachukua fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kama Rais wa awamu ya tano.
Nianze barua yangu kwa kugusia changamoto ya ajali nchini. Ajali limekuwa ni tatizo sugu licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na wadau mbalimbali kutoka taasisi binafsi na serikali. Ni hivi karibuni ripoti ya mwenendo wa ajali za barabarani imetolewa na Tanzania ikishika nafasi ya tano kwa kuwa na...
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini
Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
10 years ago
GPLMY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU
9 years ago
Bongo522 Oct
Music: Mtu Chee Ft Jux,Deddy — Mtu Tatu
11 years ago
GPLMUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU
9 years ago
Vijimambo12 Sep
UNAMPENDA MTU WA MTU ILI IWEJE?
Nilieleza kwamba, uzuri wa umbo, sura na vitu vingine vinapaswa kuwa chaguo la pili kwa mwanamke au mwanaume. Chaguo la kwanza linapaswa kuwa tabia njema. Ili uweze kudumu na mtu kwenye uhusiano ni vyema mkasomana tabia, ziwe njema na wote mfanane.
Ukimfuata mwanaume au mwanamke kutokana na mvuto...