Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKOSE UHONDO WA DINA MARIOS KATIKA EFM 93.7 KUANZIA JUMATATU AGOSTI 31, 2015


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL) KILA SIKU YA LEO JUMATATU KUANZIA SAA 12 JIONI ET USIKOSE

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU

 

11 years ago

GPL

DINA MARIOS AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha Leo Tena kinachoruka kupitia Clouds FM, Dina Marios, amejifungua mtoto wa kiume leo.

 

11 years ago

GPL

DINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA

Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’. Na Mwandishi Wetu
SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ sasa upo hadharani. Kwa muda mrefu Dina na Ruben wamekuwa kwenye uhusiano lakini wamekuwa wakijitahidi kuuficha usijulikane na watu, lakini hata hivyo watu wa karibu hasa wanaofanya nao kazi, walifahamu juu ya uhusiano huo. Akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kutangaza kusitishwa kwa muda huduma ya treni ya Jiji  kuanzia leo  Jumatano jioni Februari 25 hadi  Jumatatu  Machi 02, 2015 itakapoanza tena.
Kwa mujibu  wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni  leo Februari 25,  2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa  na vichwa  viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki  kichwa kimoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani