Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Waraka kutangaza Katiba siyo wa siri

Salva RweyemamuSERIKALI imekiri kuutambua waraka unaodaiwa kuwa ni wa siri wa Serikali wa kuitangaza Katiba pendekezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM WAKANUSHA WARAKA WA SIRI WA UCHAGUZI WA KALENGA

 Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza na wanahabari wa Iringa katika ofisi za chama hicho mapema leo.   Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza na wanahabari wa Iringa katika ofisi za chama hicho mapema leo. Sahihi halali ya Mwigulu Nchemba ambayo iko tofauti ya waraka uliosambazwa. =======  ======  ======== Na Denis Mlowe,Iringa
KATIBU wa CCM Mkoa wa Iringa Hassani Mtenga amekanusha chama hicho kuhusishwa na waraka aliodai...

 

11 years ago

Mwananchi

Waraka wa Katiba wa CCM hadharani

Waraka huo wa kurasa 22 unaoainisha mambo yenye masilahi kwa chama hicho, unawataka wajumbe wake kuutetea bungeni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waraka maalumu kwa wabunge wa Bunge la Katiba

SALAMU kwenu  wajumbe wa  Bunge  Maalumu la Katiba. Kwanza nianze kuwaambia msidhani ubunge ni bonge la dili. Ni nafasi tu katika mgawanyo wa kazi, hivyo  wale wanaoonekana wanajishaua waache  mara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waraka halali wa Muungano utumike Bunge la Katiba

WASWAHILI wana msemo maarufu unaoeleza kuwa mambo kangaja huenda yakaja. Sasa wakati waheshimiwa wetu wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya baadhi yao kutaka waongezwe posho ili watuwakilishe vizuri katika...

 

11 years ago

GPL

DINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA

Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’. Na Mwandishi Wetu
SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ sasa upo hadharani. Kwa muda mrefu Dina na Ruben wamekuwa kwenye uhusiano lakini wamekuwa wakijitahidi kuuficha usijulikane na watu, lakini hata hivyo watu wa karibu hasa wanaofanya nao kazi, walifahamu juu ya uhusiano huo. Akizungumza...

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa Siasa Muache Uswahili mtupatie katiba ya watu wote siyo ya CCM,AU CHADEMA,AU CUFU TUNATAKA KATIBA.

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza miongoni mwao na wajumbe wanaosimamia muundo wa serikali mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani