Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARAKA ULIONASWA NA UKAWA KUHUSU KTANGAZA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA HUU HAPA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RASIMU YA KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA KUWASILISHWA BUNGENI SEPTEMBA 24 MWAKA HUU

Na Benedict Liwenga na Magreth Kinabo.
RASIMU ya Katiba  Mpya  iliyopendekezwa inatarajiwa  kuwasilishwa  katika Bunge Maalum la Katiba Septemba 24, mwaka huu.
Mabadiliko hayo yametangazwa leo jioni na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahya Khamis Hamad wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Aidha Katibu huyo amesema uamuzi wa mabadiliko hayo, umetokana na kufanyika kikao baina ya Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi. 
Hata hivyo Katibu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Ukweli Kuhusu Wema na Ommy Huu Hapa!

Hatimaye imekuwa dhahili  kuwa mwanamziki Ommy Dimpoz ambae anajiita ‘Baba Wanjera’ na mwigizaji Wema Sepetu ambae ameitwa  kama Wanjera  walikuwa wakifanya kazi na sio malavidavi kama ilivyokuwa ikidhaniwa  siku za hivi karibuni kutokana ukaribu waliokuwa nao.

Leo saa 4 asubuhi ngoma ya Ommy inayokwenda kwa jina la Wanjera  itaruka hewani  kwenye TV na redio zote ndani na nje ya nchi.

Jionee baadhi ya picha zitakazo onekana kwenye ngoma hiyo.

Mzee wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu Kuhusu Wolper Kumpiga Mizinga Bwana wa Wastara Huu Hapa

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.

Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, chanzo chao makini makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kilidokeza  kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na Wolper lakini alimshindwa kutokana na tabia hiyo ya kupiga mizinga.

“Yaani Wolper ni balaa, anampiga sana...

 

9 years ago

Vijimambo

KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA


Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

RASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha bunge hilo leo mjini Dodoma, wakati ikiwasilishwa Rasimu ya katiba iliyopendekezwa.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalumu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya ukumbi wa bunge hilo siku ya Jumanne 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa,...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA: Waiponda rasimu iliyopendekezwa

>Siku moja baada ya Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba kutoa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa na kutofautiana na rasimu iliyotolewa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wasomi nchini wameiponda rasimu hiyo kwamba imeondoa mambo mengi ya msingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani