Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: Faiza Atupia Tena Hizi Akiwa Ufukweni!!!!

Mrembo na muigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja amezibandika picha hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa maeneo ya ufukweni mjini Bagamoyo.

Mbali na ukweli kuwa hapa amevalia nguo za ufukweni, mahabiki wengi wamemshabulia kuwa mavazi haya hayafai kwani yeye sasa hivi ni mama tena amezaa na Muheshimiwa, huku wengine wakisema hapo ndio mahali pake na wa muacha afurahie maisha yake.

Japokuwa ni kweli kuwa Faiza aliwashangaza wengi mwaka jana kwa kuvalia “pampers”...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Huddah Monroe achefua tena, atupia picha akiwa uc*i kitandani! (18+)

Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa. Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti. Mashabiki wake hawakusita kumchana. “Dnt you fear God?oh […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Hizi za Hamisa Mobeto Akiwa Mjamzito Zawa Gumzo

Picha za mwanamitindo  ambaye pia amewahi kucheza filamu kadhaa, Hamisa Mobeto akiwa na ujauzitoo zimewashangaza wengi leo huko kwenye mtandao wa Instagram  kwani sio tu ameonenaka na   ujauzito bali habari zilizotoka na picha hizo ni kwamba mwanadada huyo tayari ameshajifungua mtoto wa kike siku kadhaa zilizopita.

Tofauti na mastaa wengi , ujauzito wa staa huyu ulikuwa siri na wengi hatukujua. Hongera sana Hamisa Mobeto.

Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

Bongo Movies

Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB Juu Ya Picha Hizi Akiwa na Shamsa na Aunt

Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM  wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.

Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki...

 

11 years ago

GPL

SAGNA AKIWA NA MKE WAKE UFUKWENI MIAMI

Beki wa pembeni wa Manchester City, Bacary Sagna akimtomasa mke wake, Ludivine wakiwa ufukweni, Miami Marekani. Bacary Sagna akiwa na mke wake, Ludivine.…

 

10 years ago

GPL

BIEBER ATUPIA PICHA YA UTUPU MTANDAONI

Justin Bieber. MWANAMUZIKI raia wa Canada asiyeishiwa vituko, Justin Bieber kwa mara nyingine ametengebeza vichwa vya habari mitandaoni baada ya kutupia picha yake ya utupu katika akaunti yake ya Instagram. Picha ya utupu aliyoiweka Bieber Instagram. Staa huyo ameachia pia hiyo ikionyesha sehemu za makalio yake wakati akijiachia katika Kisiwa cha Bora Bora kilichopo nchini Ufaransa. Ndani ya saa moja baada ya kutupia picha hiyo,...

 

11 years ago

GPL

RAY ATUPIA PICHA YAKE YA KIMAHABA NA CHUCHU

STAA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi 'Ray' akiwa katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Chuchu Hans. Picha hii Ray ameitupia katika akaunti yake ya Instagram leo na kuandika maneno yafuatayo "Wawili wakipendana adui hana nafasi"

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy

Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari  wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”

Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema  aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...

 

10 years ago

GPL

AMBER ROSE ATUPIA PICHA ZAKE TATA NYINGINE MTANDAONI

Amber Rose akipozi kwa picha. Amber akijiachia na maswaiba wake huko Miami nchini Marekani. Amber Rose akiwa ameachia kinguo chake na kuacha…

 

10 years ago

GPL

ZARI ATUPIA PICHA YA MREMBO ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE NIDO

MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua kutupia picha ya mrembo aliyejichora jina la Diamond kwenye ziwa 'nido' lake la kushoto. Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo. Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani