Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAGNA AKIWA NA MKE WAKE UFUKWENI MIAMI

Beki wa pembeni wa Manchester City, Bacary Sagna akimtomasa mke wake, Ludivine wakiwa ufukweni, Miami Marekani. Bacary Sagna akiwa na mke wake, Ludivine.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Faiza Atupia Tena Hizi Akiwa Ufukweni!!!!

Mrembo na muigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja amezibandika picha hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa maeneo ya ufukweni mjini Bagamoyo.

Mbali na ukweli kuwa hapa amevalia nguo za ufukweni, mahabiki wengi wamemshabulia kuwa mavazi haya hayafai kwani yeye sasa hivi ni mama tena amezaa na Muheshimiwa, huku wengine wakisema hapo ndio mahali pake na wa muacha afurahie maisha yake.

Japokuwa ni kweli kuwa Faiza aliwashangaza wengi mwaka jana kwa kuvalia “pampers”...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE WA DAVID HAINES ATAKA JIHAD JOHN AKAMATWE AKIWA HAI

Mauaji ya kundi la Islamic State
Dragana Haines mke wa David Haines,mamlaka zinapaswa kumsaka na kumkamata akiwa hai mtu aliyemuua mume wake kwa kumchinja baada ya kutekwa na kundi la wapiganaji wa dola ya kiislam Islamic State wakati akifanya kazi na shirika la misaada la Uingereza.Mtu aliyemchinja David Haines na wengine tayari amefahamika kuwa ni Mohamed Emwazi.

Bi.Dragana amesema tangu alipojua kuwa mmewe David amechinjwa alijipa matumaini moyoni mwake kuwa ipo siku muuaji huyo atafahamika...

 

11 years ago

GPL

RED HANDED! NJEMBA AUVAA MTEGO AKIWA NA MKE WA RAFIKI YAKE GESTI

Na Mwandishi Wetu MAANDIKO yanasema ‘usitamani mali ya mtu mwigine’! Ni kweli kabisa, onyo hilo lilichukua fursa yake kufuatia njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Anton John Mwaweje kunaswa laivu gesti na mke wa rafiki yake aliyefahamika kwa jina moja la Chalz. Mke wa mtu sumu: Anton John Mwaweje baada ya kunaswa akiwa na mke wa rafiki yake gesti. Tukio hilo lilijiri mwanzoni mwa wiki hii kwenye gesti moja...

 

10 years ago

Vijimambo

UTATA : MWANAUME ALIYEMVALISHA PETE JACKY WOLPER ,PICHA YAVUJA AKIWA NA MKE WA NDOA

Juzi mitandaoni habari iyomake headline sana kwa upande wa wasanii ilikuwa ni habari ya Mwigizaji Jack Wolper kuvishwa pete ya uchumba.. Sasa jana Watu wameibua jipya huku instagram imetapakaa picha ikimuonyesha mwanaume aliyemvisha pete Jack Akiwa na Mkewe ikimaanisha tayari ana ndoa ..
Kitu ambacho wengi hatujaelewa na wengine wakisema labda ile ya Jack akivishwa pete ni. Movie mpya..Picha hii hapa chini!
CHANZO: UDAKU SPECIALLY

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI: NI KOSA KISHERIA KUSAJILIANA LAINI ZA SIMU, HATA AKIWA MKE AU MUME WAKO

Na Prisca Ulomi, WUUM, Iringa
Serikali imepiga marufuku kwa mwananchi yeyote kumsajilia laini ya simu ya mkononi kwa alama ya vidole kwa kutumia kitambulisho cha taifa cha NIDA mtu mwingine kwa kuwa kufanya hivyo ni kosa la kisheria.

Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye mkoani Iringa wakati akiwa kwenye mikutano ya hadhara kwenye kijiji cha Idodi na Isoliwaya mkoani humo akizindua minara ya mawasiliano kwenye kata ya Idodi, Kihesa na Ihimbo...

 

11 years ago

GPL

MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU

NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki. Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa. Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:TBT ya Wema Akiwa na ‘Girlzz’ Wake

Leo ikiwa ni ile siku ya mitupo ya nyuma  yaani ThrowBackThursday ambapo watu hutupia picha zao za zamani  kwenye mtandao wa Instagram, Staa mrembo Wema Sepetu  ametupia picha hiyo akiwa na mastaa warembo wenzake, Jackline Wolper na Irene Uwoya.

Wema aliweka picha hiyo na kuiandikia  “TBT With My Girlzzz”  kisha akawa tag Wolper na Uwoya.

Mbali na picha hii kuleta malumbano ambayo hayakuwa na tija, Swala la urafiki uliokuwepo zamani kati ya wadada hawa  na  jinsi walivyo hivi sasa ndio...

 

10 years ago

Vijimambo

MH. NYALANDU AKIWA NA MAMA MWENYE NYUMBA WAKE



Mh. Nyalandu akiwa na mke wake ni mambo ya Valentine's Day hayo Vijimambo inakupongeza Mh. Kwa Upendo wako kwa familia yako.

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyejiita ‘Mungu’ afariki akiwa na wake 35, watoto 95

Wahenga walisema; “duniani kuna mambo.” Jamaa mmoja aliyejiita ‘mungu’ huko nchini Kenya, Jehova Wanyanyi amefariki duniani na kuacha wake 35 na watoto zaidi ya 95.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani