Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyejiita ‘Mungu’ afariki akiwa na wake 35, watoto 95

Wahenga walisema; “duniani kuna mambo.” Jamaa mmoja aliyejiita ‘mungu’ huko nchini Kenya, Jehova Wanyanyi amefariki duniani na kuacha wake 35 na watoto zaidi ya 95.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mtu aliyejiita 'mungu' nchini Kenya amekufa!

Je, wamkumbuka Jehova Wanyonyi Mkenya, kiongozi wa madhehebu wa kundi linalojiita Waisraeli waliopotea, ambaye mapema mwaka huu alisema kuwa yeye ndiye Mungu? Serikali ya Kenya imesema kuwa alifariki miezi mitatu iliyopita na kuzikwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuambiana afariki akiwa kazini

Mwigizaji, mwandishi na mwongozaji wa filamu, Adamu Kuambiana amefariki dunia jana asubuhi jijini Dar es Saalam.

 

5 years ago

Michuzi

KIZITO MIHIGO AFARIKI AKIWA KIZUIZINI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

BAADA ya siku tatu tangu Mamlaka ya upelelezi nchini Rwanda kutangaza kumshikilia mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo Kizito Mihigo kwa tuhuma za kujaribu kuvuka mpaka na kwenda kujiunga na vikosi vinavyopinga Serikali ya Rwanda pamoja na kushutumiwa kwa vitendo vya rushwa leo Februari 17 jeshi la polisi nchini humo limetangaza kuwa maiti ya Kizito imepatikana ndani ya chumba alichokua amezuiwa  katika kituo cha polisi cha Remera mjini Kigali.

Polisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Dereva afariki akiwa foleni mizani Kibaha

Dereva wa malori ya safari za masafa marefu Charles Mbungu (46), amefariki dunia akiwa ndani ya lori alipokuwa katika foleni ya ukaguzi wa magari kwenye Kituo cha Misugusugu, Kibaha, Pwani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzee aliyeamka akiwa mochari India sasa afariki

Mwanamume aliyeamka kabla ya kufanyiwa upasuaji katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali moja nchini India sasa amefariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Cye:Paka mfupi kuliko wote afariki akiwa na miaka 24

Miezi miwili iliyopita, tuliwaletea makala fupi kuhusu paka aliyeitwa Poppy maarufu kwa jina la Cye aliyekuwa akishikilia rekodi ya ufupi kuliko wote duniani, ambaye wiki hii amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 24.

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa Misri Hosni Mubarak afariki akiwa na umri wa miaka 91

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia hospitalini jijini Cairo akiwa na miaka 91.

Mubarak alidumu madarakani kwa miongo mitatu kabla ya kung'atuliwa jeshi baada ya maandamano makubwa ya raia.

Alikutwa na hatia ya kula njama katika mauaji ya waandamanaji wakati wa mapinduzi na kuwekwa kizuizini.

Hata hivyo, hatia hiyo iliondolewa na akaachiwa huru mwezi Machi 2017.

Kifo chake kimethibitishwa na Televisheni ya taifa ya Misri leo Jumanne. Mapema tovuti ya Al-Watan iliripoti kuwa...

 

11 years ago

Bongo5

Mwigizaji wa filamu ya Harry Potter ‘Dave Legeno’ afariki akiwa na miaka 50

Mwigizaji raia wa Uingereza aliyecheza series za Harry Potter ‘Dave Legeno’ amekutwa amekufa jijini California, kwa mujibu wa The Hollywood Reporter. Dave Legeno, mwenye umri wa miaka 50, alikutwa akiwa amepoteza maisha siku ya Jumapili na mwili wake kuchukuliwa na helicopter. “The reporting party was part of an unrelated two-person hiking group. Due to the […]

 

5 years ago

Michuzi

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Kenny Rogers afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81

Msanii gwiji wa muziki wa Country nchini Marekani Kenny Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.

Mwakilishi wa familia yake amesema kuwa "amekufa kwa amani nyumbani kwa kifo cha kawaida".

Rogers alikua juu katika chati ya wanamuziki wa pop na country katika miaka ya 1970 na 1980 ,na alishinda tuzo tatu za -Grammy.

Akifahamika kwa sauti yake ya kipekee na yenye mvuto hasa katika nyimbo zake -The Gambler, Lucille na Coward Of The County, kazi yake ya muziki ilivuma kwa zaidi ya miongo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani