KIZITO MIHIGO AFARIKI AKIWA KIZUIZINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-JTy4q9-M8RQ/Xkr0wHnaiWI/AAAAAAALdz8/_N57JWfb4V8KUJbqPsLUFoE91jaN9eEUACLcBGAsYHQ/s72-c/aa3f274a-e8c6-4711-8b67-26ef27dd1469.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
BAADA ya siku tatu tangu Mamlaka ya upelelezi nchini Rwanda kutangaza kumshikilia mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo Kizito Mihigo kwa tuhuma za kujaribu kuvuka mpaka na kwenda kujiunga na vikosi vinavyopinga Serikali ya Rwanda pamoja na kushutumiwa kwa vitendo vya rushwa leo Februari 17 jeshi la polisi nchini humo limetangaza kuwa maiti ya Kizito imepatikana ndani ya chumba alichokua amezuiwa katika kituo cha polisi cha Remera mjini Kigali.
Polisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBC17 Feb
Kizito Mihigo: Singer found dead in Rwandan police cell
5 years ago
BBC29 Feb
Kizito Mihigo: The Rwandan gospel singer who died in a police cell
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Polisi ya Rwanda inasema msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo amejinyonga
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Idara ya usalama ya Rwanda imethibitisha kuwa inamshikilia mwanamuziki nyota nchini Rwanda, Kizito Mihigo
11 years ago
Michuzi11 Feb
MDAU KIZITO ASHINDA MILIONI 10 ZA 'CHAMPIONI MAHELA' AKIWA KWENYE DALADALA
Droo hiyo iliyochezeshwa mbele ya Msimamizi wa Bodi ya Bahati Nasibu, Mrisho Milao kwenye Viwanja vya Mbagala- Zakhem jana Jumanne.
Akizungumza Kizito ambaye ni makazi wa Kawe jijini Dar alipopigiwa simu na muendeshaji wa shughuli hiyo MC Chaku, mshindi huyo alikuwa ndani ya daladala hivyo hakuwa na mengi ya kuongeza zaidi ya kushukuru kwa...
11 years ago
Mwananchi18 May
Kuambiana afariki akiwa kazini
11 years ago
Mwananchi12 May
Dereva afariki akiwa foleni mizani Kibaha
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Aliyejiita ‘Mungu’ afariki akiwa na wake 35, watoto 95