Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dereva afariki akiwa foleni mizani Kibaha

Dereva wa malori ya safari za masafa marefu Charles Mbungu (46), amefariki dunia akiwa ndani ya lori alipokuwa katika foleni ya ukaguzi wa magari kwenye Kituo cha Misugusugu, Kibaha, Pwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

DEREVA APORWA LORI KWENYE FOLENI YA MIZANI KIBAHA, WAMPIGA NA KUMTUPA MTARONI AKIWA HOI

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.
Ilielezwa kuwa baada ya kumfunga kamba, wahalifu hao walimdhibiti ndani ya lori na kutembea naye umbali wa kilomita moja walipofika maeneo ya Kiluvya ambako walimtupa katika mtaro na kuendelea na safari.

Walifika mizani Kibaha...

 

11 years ago

Mwananchi

Dereva aporwa lori la mafuta akiwa kwenye foleni mizani

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zungu ahoji mabasi ya abiria kukaa foleni ya mizani

MWENYEKITI wa Bunge, Mussa Zungu, amehoji kama ipo sababu ya mabasi ya abiria kukaa foleni ya mizani. Zungu alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akiongoza kiti cha spika baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Dereva afariki akifanya mapenzi ‘Gesti’

>Dereva wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Juma Juma (52), amefariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye nyumba ya kulala wageni akiwa na mwanamke ambaye imedaiwa ni mhudumu wa baa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuambiana afariki akiwa kazini

Mwigizaji, mwandishi na mwongozaji wa filamu, Adamu Kuambiana amefariki dunia jana asubuhi jijini Dar es Saalam.

 

5 years ago

Michuzi

KIZITO MIHIGO AFARIKI AKIWA KIZUIZINI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

BAADA ya siku tatu tangu Mamlaka ya upelelezi nchini Rwanda kutangaza kumshikilia mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo Kizito Mihigo kwa tuhuma za kujaribu kuvuka mpaka na kwenda kujiunga na vikosi vinavyopinga Serikali ya Rwanda pamoja na kushutumiwa kwa vitendo vya rushwa leo Februari 17 jeshi la polisi nchini humo limetangaza kuwa maiti ya Kizito imepatikana ndani ya chumba alichokua amezuiwa  katika kituo cha polisi cha Remera mjini Kigali.

Polisi...

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyejiita ‘Mungu’ afariki akiwa na wake 35, watoto 95

Wahenga walisema; “duniani kuna mambo.” Jamaa mmoja aliyejiita ‘mungu’ huko nchini Kenya, Jehova Wanyanyi amefariki duniani na kuacha wake 35 na watoto zaidi ya 95.

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: Mama mzazi wa katibu wa mbunge Al Shaimar Kweigyir afariki dunia leo Kibaha, Pwani

MAMA wa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum  Mhe. Al Shaimar Kweigyir, Bw. Semeni Kingaru, anayeitwa Kibibi Haji Pembe, amefariki Dunia leo saa tano asubuhi akiwa na umri wa miaka 80.Semeni Kingaru kulia ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimar Kweigyir, akiwa na mama yake mzazi Bi Kibibi Haji enzi za uhai wake. Marehemu Kibibi Haji  amefariki Dunia leo asubuhi, wilayani Kibaha, mkoani Pwani.Mama huyo amefariki nyumbani kwake kijiji cha Misugusugu, wilayani Kibaha, mkoani Pwani,...

 

10 years ago

Michuzi

DEREVA AFARIKI DUNIA BAADA YA GARI ALILOKUWA AKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA WILAYANI MBOZI,MBEYA

Dereva aliyekuwa akiendesha gari lenye namba za usajili T.910 CYF aina ya Toyota Noah aliyetambulika kwa jina la Stanford Luenje (30) mkazi wa mbozi alifariki dunia baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka huko eneo la Mlowo Wilayani Mbozi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 01:30 huko eneo la mlowo, kata ya mlowo, tarafa ya vwawa, wilaya ya mbozi, mkoa wa mbeya katika barabara kuu ya mbeya/tunduma.
Aidha katika ajali hiyo watu wawili waliofahamika kwa majina ya  1....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani