Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEREVA APORWA LORI KWENYE FOLENI YA MIZANI KIBAHA, WAMPIGA NA KUMTUPA MTARONI AKIWA HOI

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.
Ilielezwa kuwa baada ya kumfunga kamba, wahalifu hao walimdhibiti ndani ya lori na kutembea naye umbali wa kilomita moja walipofika maeneo ya Kiluvya ambako walimtupa katika mtaro na kuendelea na safari.

Walifika mizani Kibaha...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dereva aporwa lori la mafuta akiwa kwenye foleni mizani

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.

 

11 years ago

Mwananchi

Dereva afariki akiwa foleni mizani Kibaha

Dereva wa malori ya safari za masafa marefu Charles Mbungu (46), amefariki dunia akiwa ndani ya lori alipokuwa katika foleni ya ukaguzi wa magari kwenye Kituo cha Misugusugu, Kibaha, Pwani.

 

11 years ago

GPL

LORI LAINGIA MTARONI TEGETA-KIBAONI, DAR

Lori likiwa mtaroni baada ya kuacha njia eneo la Tabata-Kibaoni. Wananchi wakishuhudia ajali hiyo ya lori lililoingia mtaroni. AJALI hii imetokea eneo la Tabata-Kibaoni…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zungu ahoji mabasi ya abiria kukaa foleni ya mizani

MWENYEKITI wa Bunge, Mussa Zungu, amehoji kama ipo sababu ya mabasi ya abiria kukaa foleni ya mizani. Zungu alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akiongoza kiti cha spika baada ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

11 years ago

Habarileo

Taqwa lagongana na lori, dereva afa

DEREVA wa basi la kampuni ya Taqwa, Adam Ibrahim (50) amekufa papo hapo huku abiria kumi wakijeruhi baada ya gari alilokuwa anaendesha kutoka Dar es Salaam kwenda Bujumbura, Burundi kugongana na lori katika kitongoji cha Ngonho, Kata ya Miguwa wilayani hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Dereva lori la mafuta afa ajalini

DEREVA wa gari la mafuta Ally Ngoma (62) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na basi dogo la abiria.

 

10 years ago

Mwananchi

Dereva wa lori lililoua 50 Mafinga afungiwa leseni

>Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi, wamezifungia leseni za madereva sita akiwamo Maga Magazini dereva wa lori lililogongana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express na kusababisha vifo vya watu 50 na wengine 22 kujeruhiwa.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA

Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani