Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zungu ahoji mabasi ya abiria kukaa foleni ya mizani

MWENYEKITI wa Bunge, Mussa Zungu, amehoji kama ipo sababu ya mabasi ya abiria kukaa foleni ya mizani. Zungu alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akiongoza kiti cha spika baada ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dereva afariki akiwa foleni mizani Kibaha

Dereva wa malori ya safari za masafa marefu Charles Mbungu (46), amefariki dunia akiwa ndani ya lori alipokuwa katika foleni ya ukaguzi wa magari kwenye Kituo cha Misugusugu, Kibaha, Pwani.

 

11 years ago

Mwananchi

Dereva aporwa lori la mafuta akiwa kwenye foleni mizani

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.

 

11 years ago

CloudsFM

DEREVA APORWA LORI KWENYE FOLENI YA MIZANI KIBAHA, WAMPIGA NA KUMTUPA MTARONI AKIWA HOI

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.
Ilielezwa kuwa baada ya kumfunga kamba, wahalifu hao walimdhibiti ndani ya lori na kutembea naye umbali wa kilomita moja walipofika maeneo ya Kiluvya ambako walimtupa katika mtaro na kuendelea na safari.

Walifika mizani Kibaha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Abiria wanavyokwepa foleni TZ

Foleni ya magari katika miji mingi barani Afrika ni jambo la kawaida, na linalolalamikiwa kila mara lakini nchini Tanzania wakazi wanakwepa vipi foleni?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabasi ya majini kuleta ufumbuzi wa foleni nchini

SERIKALI, mashirika binafsi na wadau wa usafiri ndani na nje ya nchi wamekuwa wakifanya jitihada mbalimbali kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam na baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL YAMULIKA UBOMOAJI WA KITUO CHA MABASI, FOLENI UBUNGO

    Mafundi wakivunja vibanda vya kukatia tiketi.     Nguzo za umeme wa nguvu kubwa ‘zikipita’ juu ya wabomoaji.…

 

5 years ago

Michuzi

Abiria wanaotoka mikoa iliyoathirika kukaa Karantini Rukwa, wananchi wakitakiwa kuvaa barakoa

Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo. 
KATIKA harakati za kupambana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID – 19) Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo ametoa maelekezo kwa wananchi wa mkoa wa Rukwa kuhakikisha wanavaa barakoa wanapokuwa katika mikusanyiko pamoja na maeneo yao ya kibiashara hasa kwa wale wanaohusika na kutoa huduma kwa jamii huku akivitaka vyombo husika kuhakikisha abiria wote wanaotoka katika maeneo yaliyoathirika ndani ya nchi kuingia...

 

9 years ago

Mwananchi

Mabasi yatelekeza abiria UBT

Baadhi ya abiria wamejikuta wakitelekezwa katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo (UBT) jijini Dar es Salaam kutokana na uhaba wa abiria.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’

Kamati ya watu 14 iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kufuatilia chanzo cha ongezeko la ajali za mabasi, imebaini kuwa abiria wanashawishi madereva kuendesha mabasi kwa kasi na hivyo kuwa sehemu ya sababu za kuongezeka kwa ajali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani