KAMERA YA GLOBAL YAMULIKA UBOMOAJI WA KITUO CHA MABASI, FOLENI UBUNGO
  Mafundi wakivunja vibanda vya kukatia tiketi.   Nguzo za umeme wa nguvu kubwa ‘zikipita’ juu ya wabomoaji.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Mar
Kituo cha mabasi Ubungo ‘kinavyotafunwa’
Katika gazeti hili toleo la jana, tuliaandika namna mapato yanayopatikana katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo, (UBT) kilichopo jijini Dar es Salaam, yanavyokusanywa na kuishia mikononi mwa watu wachache huku miundombinu yake ikizidi kudorora.
Watoto walala juu ya miti
Gazeti hili lilibaini kuwapo kundi kubwa la watoto kutoka mikoa mbalimbali wamejenga makazi yao ya kudumu katika eneo hilo na kuwa sehemu ya maisha yao.
Jua linapozama watoto hao wenye umri kati ya miaka 7 hadi...
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Kero za wasafiri Kituo cha Mabasi Ubungo
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Utapeli wakithiri Kituo cha Mabasi Ubungo
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKviiitYxKsXOKyvoO6xWIQn-IxMdSestBvRQU7LuJRl15xmFBVaDSj0FudrqXzqGquEynFZHWRHxlgtFosRWeE/IMG20150512WA0002.jpg)
KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO
10 years ago
MichuziKilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMlKJozAQI-fn4mLm3cL95zKjx61zOQpZExPfGeBFCcYvnbVKiD89GUIUmvJuGwCfHsR84vFfCgBpPMUaY3j5*qc/3.jpg?width=650)
AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Breaking News!!! Â Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima
…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Kituo ch Mabasi Ubungo dhahabu inayonufaisha wachache
Koku David na Faraja Masinde, Dar es Salaam
KITUO cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo, (UBT), kilifunguliwa Desemba 6 mwaka 1999, lengo likiwa ni kutoa huduma nzuri kwa wasafiri na kuongeza mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Baada ya kufunguliwa kwa kituo hicho, kati ya mwaka 2004 mpaka 2008, ziliibuliwa tuhuma mbalimbali za ufisadi zikiwamo upotevu wa mapato, zilizokuwa zikiihusu Kampuni ya Smart Holdings ya familia ya kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),...