Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORI LAINGIA MTARONI TEGETA-KIBAONI, DAR

Lori likiwa mtaroni baada ya kuacha njia eneo la Tabata-Kibaoni. Wananchi wakishuhudia ajali hiyo ya lori lililoingia mtaroni. AJALI hii imetokea eneo la Tabata-Kibaoni…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

mzinga: Daladala laingia mtaroni

Kamera yetu, leo imeinasa taswira hii ya Daladala likiwa limepiga mweleka na kuingia mtaroni, lilipokuwa likijarimu kulikwepa gari lingine lililokuwa likipita eneo hilo la Mbagala Charambe, Jijini Dar, Hakuna aliejeruhiwa katika ajali hiyo.

 

10 years ago

GPL

GARI LAINGIA MTARONI LIKIPANDA MLIMA KITONGA

Basi liitwalo Easy Bus  lenye namba za usajili T 298 BLZ lililokuwa likitokea Lilongwe Malawi likiwa katika mtaro wa Mlima Kitonga.…

 

11 years ago

CloudsFM

DEREVA APORWA LORI KWENYE FOLENI YA MIZANI KIBAHA, WAMPIGA NA KUMTUPA MTARONI AKIWA HOI

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.
Ilielezwa kuwa baada ya kumfunga kamba, wahalifu hao walimdhibiti ndani ya lori na kutembea naye umbali wa kilomita moja walipofika maeneo ya Kiluvya ambako walimtupa katika mtaro na kuendelea na safari.

Walifika mizani Kibaha...

 

11 years ago

GPL

LORI LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LORI LINGINE

Lori la kusafirisha mafuta linateketea kwa moto. Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali. Ajali hiyo imetokea  ikihusisha lori lenye namba za usajili T417 ABF, mali ya kampuni ya Camel oil ambalo lilikuwa likisafirisha lita 35,000 za mafuta aina ya diesel kutoka jijini Dar es...

 

10 years ago

IPPmedia

Two appear in Dar court over Tegeta escrow account saga


IPPmedia
Two appear in Dar court over Tegeta escrow account saga
IPPmedia
Tegeta Escrow Account scandal suspects Rugonzibwa Mujunangoma (L), and Engineer Theophillo Bwakea walk towards Kisutu Resident Magistrate�s Court in Dar es Salaam yesterday under armed escort. Two people yesterday appeared before Kisutu ...

 

9 years ago

Michuzi

kiwanja kinauzwa tegeta wazo Dar es salaam

 KIWANJA KINAUZWA NUSU HEKARI, KIMEPIMWA, KIPO, TEGETA WAZO, DAR ES SALAAM.  BEI NI TSH 70M, KWA MAWASILIANO PIGA, No.0784-577087 Kisali.

 

11 years ago

GPL

LORI LAIGONGA BODABODA SINZA, DAR

    Pikipiki 'bodaboda' ikiwa imekanyagwa na tairi la Scania. Gari aina ya Scania likionekana kwa mbele likiwa limesimama…

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR

LORI lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani, Dar na kuziba barabara huku wananchi wakichota mafuta. Lori hilo ni mali ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali. Video ya tukio hili itawajia hivi punde! ...

 

10 years ago

Mtanzania

Lori la mafuta laleta maafa Dar

lori la mafutaNA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

WATU wanne wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta ya petroli kuanguka na kuteketea kwa moto katika eneo la Mbagala Rangitatu.

Hali hiyo ilizua taharuki na vilio kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, baada ya idadi kubwa ya watu kujeruhiwa vibaya kutokana na moto huo ulioanza saa 6 usiku.

Watu wengi walijeruhiwa baada ya kwenda kuchota mafuta yaliyokuwa yanamwagika wakiwa na ndoo, vidumu vya lita tano na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani