Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee aliyeamka akiwa mochari India sasa afariki

Mwanamume aliyeamka kabla ya kufanyiwa upasuaji katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali moja nchini India sasa amefariki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Azinduka akiwa mochari siku ya pili

SERIKALI ya Kenya imeanza uchunguzi ili kubaini sababu ya mtu aliyethibitishwa kufa hospitalini, kuzinduka akiwa mochari siku iliyofuata.

 

9 years ago

Michuzi

TANZIA: MZEE SIMON MEMBE AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA

Familia ya Membe inasikitika kutangaza kifo cha Mzee Simon Membe (pichani) wa Rondo, Mkoani Lindi, ambaye amefariki dunia jana tarehe 3 Oktoba 2015 huko Mumbai, India alipokwenda kwa ajili ya matibabu.

Mipango ya mazishi inafanywa Dar es Salaam  nyumbani kwa kaka wa Marehemu Mhe Bernard Membe (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu mchana tarehe 5 Oktoba 2015 saa 9 alasiri.

Ibada na heshima za mwisho ‎kwa Dar es...

 

9 years ago

BBCSwahili

Azikwa akiwa hai India

Mtu mmoja nchini India amefariki baada ya wafanyikazi wa ujenzi ambao hawakumuona katika shimo kumzika akiwa hai.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzee azikwa akiwa ameketi kenya

Je,katika utamaduni wenu kiongozi wa kijiji,mganga wa kienyeji na mkulima mashuhuri huzikwa vipi?.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuambiana afariki akiwa kazini

Mwigizaji, mwandishi na mwongozaji wa filamu, Adamu Kuambiana amefariki dunia jana asubuhi jijini Dar es Saalam.

 

5 years ago

Michuzi

KIZITO MIHIGO AFARIKI AKIWA KIZUIZINI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

BAADA ya siku tatu tangu Mamlaka ya upelelezi nchini Rwanda kutangaza kumshikilia mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo Kizito Mihigo kwa tuhuma za kujaribu kuvuka mpaka na kwenda kujiunga na vikosi vinavyopinga Serikali ya Rwanda pamoja na kushutumiwa kwa vitendo vya rushwa leo Februari 17 jeshi la polisi nchini humo limetangaza kuwa maiti ya Kizito imepatikana ndani ya chumba alichokua amezuiwa  katika kituo cha polisi cha Remera mjini Kigali.

Polisi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: JB Akiwa Nyumbani Kwao kwa Mzee Wake

Leo ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa  kwa mzee wake.

Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.

“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha huyo hap juu akiwa na mzee wake.

Picha huyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho...

 

11 years ago

Michuzi

Mdau Mzee wa Kipepeo Tours akiwa vakesheni New York

 Mzee wa Kipepeo Tours akiwa vakesheni New York , hapa ni uwanja wa Barclays. Huyu ni mmoja wa wadau muhimu walioipa support Globu ya Jamii tangu inaanzishwa na hadi leo yuko nasi bega kwa bega Mzee wa Kipepeo na askari huko New York 

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyejiita ‘Mungu’ afariki akiwa na wake 35, watoto 95

Wahenga walisema; “duniani kuna mambo.” Jamaa mmoja aliyejiita ‘mungu’ huko nchini Kenya, Jehova Wanyanyi amefariki duniani na kuacha wake 35 na watoto zaidi ya 95.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani