Mansu-Li arudi shule kusomea fani ya manunuzi
Rapper wa kundi la Capitol Letters, Mansu-Li amerudi shule kusomea fani ya manunuzi ijulikanayo kama ‘Procurement and Logistics katika chuo cha Tanzania cha mahesabu, TAA, mkoani Mtwara. Akiongea na kipindi cha New Chapter cha Radio Free Africa, hivi karibuni, rapper huyo alidai kuwa ameamua kurudi shule ili kujihakikisha mustakabali mzuri wa maisha yake kwakuwa muziki […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Young Killer arudi shule
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ametimiza ndoto zake za kurudi shule ambapo sasa anasomea teknolojia ya mawasiliano (IT). Nyota huyo chipukizi ambaye amejizolea umaarufu kupitia...
9 years ago
Bongo525 Nov
Music: Mansu li Ft Belle 9 & Nikki Mbishi – Usione Ukadhani
![Mansu Li](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mansu-Li-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa rapper Mansu li unaitwa “Usione Ukadhani”, Amewashirikisha Belle 9 na Nikki Mbishi, Studio Classic Sound.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Habarileo24 Nov
Waomba miundombinu rafiki ya kusomea
SHIRIKA la Wanawake katika Sheria na Maendeleo barani Afrika (WiLDAF) na wadau mbalimbali wanaopinga ukatili wa kijinsia wameiomba serikali kuboresha miundombinu kwa watoto wa shule iwe rafiki ili kupunguza vitendo vya ukatili.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Mawakili kusomea gesi, mafuta
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Wanafunzi 10 wadhaminiwa kusomea gesi Uingereza
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China
NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...
11 years ago
Mwananchi16 May
Serikali yafuta daraja la 4 kusomea ualimu
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Je, uongo ni fani?
11 years ago
Habarileo27 Jul
Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.