Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China


NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Vijana Saba kusomea mafuta na Gesi nchini Brazili Mwakani

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya lugha ya Kireno Zahoro Athmani mmoja kati ya wanafunzi 15, waliohitimu mafunzo hayo, ambapo 7 kati yao tayari wamepata ufadhili wa masomo ya Shahada za Uzamili na Uzamivu katika fani za mafuta na gesi nchini Brazili. Kulia ni Balozi wa Brazili nchini, Fransisco Carlos Luiz, akimpongeza mwanafunzi huyo. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawakili kusomea gesi, mafuta

Mawakili 20 kutoka katika mikoa mbalimbali wanatarajiwa kupelekwa nchini Marekani kupata mafunzo ya sheria kuhusu mafuta na gesi kwa vitendo, ili waweze kuielimisha jamii na kuiwezesha kunufaika.

 

11 years ago

Habarileo

Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.

 

10 years ago

Habarileo

Membe ahimiza vijana wengi kujifunza mafuta na gesi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema ni jukumu la Serikali kuhakikisha nchi inapoelekea katika uchumi wa mafuta na gesi inasomesha vijana wengi zaidi katika sekta hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI CHINA

Waziri wa Nishati na Madini. George Simbachawene, akisisitiza jambo kwa wanafunzi kabla ya kuwakabidhi Nyaraka za Ufadhili kwa ajili ya masomo yao nchini China. 
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na  waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi  waliopata ufadhili wa  masomo katika ngazi za  Shahada za Uzamivu (Phd) na  Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China. Baadhi ya wanafunzi 22 waliopata nafasi za masomo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI NCHINI CHINA

Waziri wa Nishati na Madini. George Simbachawene, akisisitiza jambo kwa wanafunzi kabla ya kuwakabidhi Nyaraka za Ufadhili kwa ajili ya masomo yao nchini China. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na  waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi  waliopata ufadhili wa  masomo katika ngazi za  Shahada za Uzamivu (Phd) na  Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China.
 Baadhi ya wanafunzi 22 waliopata nafasi za masomo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Maafisa waandamizi wakiwa China katika mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.

Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.  Mkurugenzi wa Mipango na Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi, Makaazi Maji ujenzi na Nishati, Salhina Mwita Ameir akieleza jambo wakati wa mafunzo ya mafuta na gesi asilia katika Chuo cha Biashara za Kimataifa Beijing China. Wanaomtazama kutoka kushoto ni Mhandisi Mwalimu Ali Mwalimu na Farhat Ali Mbarouk.(Picha na Juma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani