Uongo wahatarisha biashara Dodoma
Soko lililokuwa likitegemewa sana na wakulima wa Dodoma, la mbegu na mafuta katika nchi za India na China limeingia dosari baada ya baadhi ya wafanyabiashara na wasindikaji wa mafuta nchini kuchanganya michanga katika bidhaa hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.
Tahariri ya leo Machi 10, Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.
Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...
10 years ago
MichuziBARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Uchafu UBT wahatarisha afya za abiria
BAADHI ya abiria wanaotumia Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT), wamesema afya zao ziko hatarini kwa kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kusambaa kinyesi kituoni hapo. Wakizungumza kwa nyakati...
9 years ago
MichuziAfisa biashara wa halmashauri ya Dodoma asimamishwa kazi
Anuani ya Simu “TAMISEMI” DODOMASimu Na: (026) 2322848, 2321607, 2322853, 2322420, Nukushi: (026) 2322116, 2322146. 2321013, Barua pepe:ps@poralg.go.tz
Tawala za Mikoana Serikali za Mitaa,S. L. P. 1923, DODOMA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara...
11 years ago
MichuziJEHI LA POLISI DODOMA LAWASHIKILIA WANAWAKE 15 WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA UKAHABA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:
1. VERONICA D/O JOEL...
10 years ago
MichuziKipindi cha fursa ya biashara ya mavazi ya CCM chawadia mjini Dodoma
10 years ago
MichuziWANACHUO WAWILI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
Kwa kile ambacho kimeonekana ni tishio kwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wanafunzi hawa kutoka kampasi ya Dodoma wameweza kupata ufaulu ...
9 years ago
MichuziWaziri Simbachawene aagiza kusimamishwa kazi kwa maafisa biashara wawili wa manispaa ya Dodoma
Kutokana na hali hiyo Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kumuondoa kwenye...
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
Mamia ya wakazi wa Dodoma wajitokeza kwa wingi katika semina ya ujasiriamali kuhusu biashara ya mtandao