Mamia ya wakazi wa Dodoma wajitokeza kwa wingi katika semina ya ujasiriamali kuhusu biashara ya mtandao
Mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa ya jirani juzi jumanne tarehe 7 /04/2015 karume DAY walijitokeza kwa wingi kwa semina kuhusu biashara ya mtandao ambayo ni biashara ambayo ya karne ya 21 na kuendelea kukua kwa kasi duniani pia hapa nchini na kuwezesha kutengeneza mamilionea kwa wingi bila kujali kiwango chao cha elimu wala kipato na pia huanza kwa mtaji kidogo na bila mkopo toka benki.
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi
![](http://3.bp.blogspot.com/-_zoRJ7cgS3c/ViztpMQB7cI/AAAAAAAAE94/qSP1M-EdFs8/s640/IMG_0414.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-wfzmolsYleE/Viztn9ZOAEI/AAAAAAAAE9s/VThG_drMzyQ/s640/IMG_0415.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cuUSERiVZ5c/ViztpLhpjpI/AAAAAAAAE90/Jbx9mk8q1N8/s640/IMG_0438.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Lva4-yMkK6Q/VizttGynS3I/AAAAAAAAE-E/_9uSXhXS2I8/s640/IMG_0447.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-fnAk_Rg8T3w/Viztu_qbdnI/AAAAAAAAE-M/0cnLNi0aY_E/s640/IMG_0565.jpg)
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam
WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...
10 years ago
GPLWAKAZI WA JIJI LA DAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI SHINDANO LA TMT 2015
11 years ago
Dewji Blog06 Apr
Mamia ya wakazi wa jiji la Mwanza wajitokeza katika usaili wa shindano la kuonyesha vipaji vya kuigiza
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.
![Untitled 1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled-11.jpg)
Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza.
Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza...
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Wakazi wa Jiji la Dar Wajitokeza kwa wingi kushiriki Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke
Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha.
Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza.
Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waendeshaji wa shindano hilo katika viwanja...
9 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MADUKA YAFUNGWA KUAJILI YA UCHAGUZI
Hapa ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya leo.
Baadhii ya...
11 years ago
MichuziMAMIA WA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS MUDA HUU
11 years ago
MichuziMAMIA YA WANAWAKE WAJITOKEZA KUHUDHURIA SEMINA YA MWANAMKE NA AKIBA
Akizungumza katika Semina hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Bi Naima Malima...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-TBROLXrsvxU/VlznP7mQnXI/AAAAAAAAXVE/NeTFKbLRwhc/s72-c/12313746_418058061720131_2182243410750664304_n.jpg)
MAMIA YA WAKAZI WA BUSANDA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO
11 years ago
MichuziSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI