MAMIA YA WANAWAKE WAJITOKEZA KUHUDHURIA SEMINA YA MWANAMKE NA AKIBA
Katika kuitikia wito uliotolewa jana na Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilali wakati akifungua Tamasha la kwanza la kipekee kwa ajili ya wanawake na vijana lililopewa jina la Mwanamke na Akiba, mamia wa kinamama na vijana kutoka maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam na mkoa wa Pwani, leo walijitokeza kuhudhuria Semina ya Mwanamke na Akiba inayoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Dar Live.
Akizungumza katika Semina hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Bi Naima Malima...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
Mamia ya wakazi wa Dodoma wajitokeza kwa wingi katika semina ya ujasiriamali kuhusu biashara ya mtandao
9 years ago
Habarileo10 Oct
Mamia kuhudhuria kongamano la afya
WATAALAMU wa afya 1,000 na taasisi 100 kutoka sehemu mbalimbali nje na ndani ya nchi wanatarajia kushiriki katika kongamano la pili la wadau wa afya. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Rais wa Kongamano hilo, Omary Chilo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Mez B
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Mamia wajitokeza kumzika Gurumo
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Ebby Sykes
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SAFARI ya mwisho ya aliyekuwa mkongwe wa muziki wa Ragger nchini ambaye pia ni baba mzazi wa msanii, Dully Sykes, Ebby Sykes (62), imehitimishwa jana kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Mkongwe huyo alifikwa na umauti juzi mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyodaiwa kueneza sumu mwilini mwake kutokana na matumizi ya uvutaji wa sigara.
Wasanii mbalimbali wameonyesha kusikitishwa na kifo...
10 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANAMUZIKI SHEM KARENGA
10 years ago
Bongo522 Oct
Video/Picha: Mamia wajitokeza kwa kumzika YP
10 years ago
Vijimambo18 Jul
PICHA: MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA BANZA STONE
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fapi.ning.com%2Ffiles%2FYGRK3QDGhjBMrFXiO5KHBiI0F5h24K0PqYkuZU09ODUzw*c6tdXkmv7rsQPQucdQEzxP3it66pm*GiB4rjgnPMN7Sr-pg7V*%2FArWBAjf5czyy_LMzr73Z49qwLyFu_dhXM7q9rRtyU_B.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.