Mamia wajitokeza kumzika Ebby Sykes
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SAFARI ya mwisho ya aliyekuwa mkongwe wa muziki wa Ragger nchini ambaye pia ni baba mzazi wa msanii, Dully Sykes, Ebby Sykes (62), imehitimishwa jana kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Mkongwe huyo alifikwa na umauti juzi mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyodaiwa kueneza sumu mwilini mwake kutokana na matumizi ya uvutaji wa sigara.
Wasanii mbalimbali wameonyesha kusikitishwa na kifo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Mez B
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Mamia wajitokeza kumzika Gurumo
10 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA KAKA WA MWANDISHI WA GPL
10 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANAMUZIKI SHEM KARENGA
10 years ago
Bongo522 Oct
Video/Picha: Mamia wajitokeza kwa kumzika YP
10 years ago
Vijimambo18 Jul
PICHA: MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA BANZA STONE
Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya...
11 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA SIKU YA JANA
10 years ago
Bongo515 Feb
Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...