Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA BANZA STONE


Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video/Picha: Mamia wajitokeza kwa kumzika YP

Msanii wa muziki kutoka kundi la TMK Wanaume Family YP amezikwa Jumatano hii katika makaburi ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Jeneza likiwa linaingizwa makaburini tayari kwa mazishi Katika mazishi hayo wadau mbalimbali wa muziki, filamu pamoja na wanafamilia wa msanii huyo waliungana kwa pamoja kumsindikiza katika makao yake ya kudumu. Tazama video na picha. […]

 

11 years ago

Mwananchi

Mamia wajitokeza kumzika Gurumo

>Safari ya miaka 74 duniani ya nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Mwalimu Gurumo ilifikia tamati jana baada ya kuzikwa kijijini kwake Masaki Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

 

10 years ago

Mtanzania

Mamia wajitokeza kumzika Mez B

jeneza(1)NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...

 

10 years ago

Mtanzania

Mamia wajitokeza kumzika Ebby Sykes

sykesNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SAFARI ya mwisho ya aliyekuwa mkongwe wa muziki wa Ragger nchini ambaye pia ni baba mzazi wa msanii, Dully Sykes, Ebby Sykes (62), imehitimishwa jana kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Mkongwe huyo alifikwa na umauti juzi mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyodaiwa kueneza sumu mwilini mwake kutokana na matumizi ya uvutaji wa sigara.
Wasanii mbalimbali wameonyesha kusikitishwa na kifo...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANAMUZIKI SHEM KARENGA

Sehemu ya jeneza la marehemu Karenga.
Mwili ukisitiliwa kaburini.…

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA KAKA WA MWANDISHI WA GPL

Kulia ni Shakoor Jongo na wanandugu kaburini wakipokea mwili wa marehemu. Ndugu na  marafiki wakiomba dua kwa ajili ya ndugu yao.…

 

11 years ago

GPL

MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA SIKU YA JANA

Vijana  wa  UVCCM mkoa  wa Iringa na Mbeya  wakiwa  wamelibeba  jeneza  lenye  mwili wa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Emanuel Mteming'ombe siku ya jana wakati  wa kuelekea  kanisani kwa ibada kabla ya mazishi yake  yaliyofanyika kijijini Kwake Rujewa Mbarali mkoani Mbeya. Naibu katibu mkuu wa CCM Bara Bw Mwigulu Nchemba wa pili kulia akiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa  wa Iringa Jesca...

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani