MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA SIKU YA JANA
Vijana wa UVCCM mkoa wa Iringa na Mbeya wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Emanuel Mteming'ombe siku ya jana wakati wa kuelekea kanisani kwa ibada kabla ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini Kwake Rujewa Mbarali mkoani Mbeya. Naibu katibu mkuu wa CCM Bara Bw Mwigulu Nchemba wa pili kulia akiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Mez B
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MAMIA ya mashabiki na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, jana walijitokeza kuupumzisha mwili wa msanii, Moses Bushangama ‘Mez B’, katika makaburi ya Wahanga wa Treni, Mailimbili mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa kuuaga mwili huo, mama wa marehemu, Mchungaji Mary Katambi, aliwataka vijana kumrudia Mungu.
“Mwanangu aliuona uwepo wa Mungu, nilikuwa nikimsihi kuokoka na kumrudia Mungu na alikuwa akinijibu itafika wakati mimi wa yeye kufanya hivyo,” alisema...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Mamia wajitokeza kumzika Gurumo
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Ebby Sykes
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SAFARI ya mwisho ya aliyekuwa mkongwe wa muziki wa Ragger nchini ambaye pia ni baba mzazi wa msanii, Dully Sykes, Ebby Sykes (62), imehitimishwa jana kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Mkongwe huyo alifikwa na umauti juzi mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyodaiwa kueneza sumu mwilini mwake kutokana na matumizi ya uvutaji wa sigara.
Wasanii mbalimbali wameonyesha kusikitishwa na kifo...
10 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANAMUZIKI SHEM KARENGA
11 years ago
Bongo522 Oct
Video/Picha: Mamia wajitokeza kwa kumzika YP
11 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA KAKA WA MWANDISHI WA GPL
10 years ago
Vijimambo18 Jul
PICHA: MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA BANZA STONE

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.
10 years ago
MichuziVIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.
Katika...
11 years ago
GPLKATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA