Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali katika shule na vyuo -1

Elimu ya ujasiriamali katika nchi yetu haina ‘umri’ mkubwa kama zilivyo taaluma nyingine zikiwamo lugha, historia, siasa na sayansi. Hii ni kutokana na historia ya nchi yetu hasa baada ya kupata uhuru, kwamba tuliamua kufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea kupitia Azimio la Arusha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini

Uzoefu na tafiti vinaonyesha vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu nchini wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa elimu maalumu katika jamii

Elimu maalumu hutolewa kwa watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali hadi kufikia umri wa miaka 21.

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Elimu afungua Mafunzo Kazini kwa Walimu, atembelea shule na vyuo mkoani Mwanza

Matukio mbalimbali katika ziara ya siku moja ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome mkoani Mwanza. Na hotuba yake katika ufunguzi wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome katika maabara ya TEHAMA katika shule ya sekondari Pamba.  Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa mafunzo ya ujasiriamali shuleni na vyuoni

Elimu ya ujasiriamali katika nchi yetu haina umri mkubwa kama zilivyo taaluma nyingine kama vile lugha, historia, siasa na sayansi.

 

11 years ago

Michuzi

MAADILI YAHIMIZWA NA KUTILIWA MKAZO KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI

Na Rocky Setembo – Afisa Habari, Tume ya Maadili ya Viongozi.
Viongozi wakuu kutoka Chuo cha Biashara ‘CBE’ wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kusimamia uadilifu wa Chuo hicho ili kuhakikisha Taifa linapata wasomi waliojengeka vyema kielimu na kimaadili.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Viongozi wa Umma, Ofisi ya Rais - Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Bw. Tixon Tuyangine Nzunda, wakati akitoa Mafunzo ya Maadili kwa Wakurugenzi Wakuu na Wakurugenzi Wasaidizi, kutoka...

 

9 years ago

Michuzi

VYUO VIKUU NCHINI KUNOANA KATIKA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU 2015 JIJINI ARUSHA

  Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya akizungumza na waandishi habari leo kuhusu kongamano la saba la elimu ya juu 2015 linalotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 1-2, 2015. Pembeni ni Thea Mtau (kulia) na Cosmas Mwasoibya ambao ni wajumbe wa Kamati ya Maandalizi.  Waandsihi wakimsikiliza   Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya katika mkutano na waandsihi wa habari uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Na...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA Kanda ya Mashariki yatoa Elimu ya Utumiaji wa Mawasiliano Katika Vyuo viwili wilayani Nachingwea


Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Nachingwea

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki imetoa elimu ya Mawasiliano katika vyuo viwili  Wilayani Nachingwea ili  kuwapa elimu ya uelewa Wanafunzi na walimu namna ya kutumia mawasiliano hayo kwa usalama.

Vyuo vilivyopata elimu ya  Utumiaji wa  Mawasiliano ni Chuo cha Uuguzi na Ukunga pamoja na Chuo cha Ualimu.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyuo hivyo Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero amesema kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA MHE.POSSI KATIKA VITUO, VYUO NA SHULE ZA WATU WENYE ULEMAVU MKOANI TANGA JANUARI 4, 2016

 Katibu Tawala mkoa wa Tanga Bw. Salim Chima (wa kwanza kushoto) akimpitisha Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi katika taarifa ya mkoa wa Tanga, wakati wa ziara yake ya kutembelea Shule na Vituo vya watu wenye ulemavu mkoani hapo, Januari 4, 2016. Mtaalamu wa vifaa bandia na vifaa visaidizi vya watu wenye ulemavu Bw. Richard Mbawa akimwonesha Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi namna kifaa cha mguu bandia kinavyofanya kazi wakati wa ziara yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani