ZIARA YA MHE.POSSI KATIKA VITUO, VYUO NA SHULE ZA WATU WENYE ULEMAVU MKOANI TANGA JANUARI 4, 2016
Katibu Tawala mkoa wa Tanga Bw. Salim Chima (wa kwanza kushoto) akimpitisha Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi katika taarifa ya mkoa wa Tanga, wakati wa ziara yake ya kutembelea Shule na Vituo vya watu wenye ulemavu mkoani hapo, Januari 4, 2016.
Mtaalamu wa vifaa bandia na vifaa visaidizi vya watu wenye ulemavu Bw. Richard Mbawa akimwonesha Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi namna kifaa cha mguu bandia kinavyofanya kazi wakati wa ziara yake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6NUTDXOWsS4/XnOUOMoTFmI/AAAAAAALkek/vDBppIQbJTMQaXyyu2qXENuiYmi5aVcqwCLcBGAsYHQ/s72-c/99b625c4-e539-4c8c-a622-78ad9c5d861f.jpg)
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TULOsJhbarQ/UzEdT17qRGI/AAAAAAAFWHk/3mgSsZMivew/s72-c/New+Picture.png)
MHE.RAIS AWATAKA VIONGOZI MKOANI TANGA KUSIMAMIA WATOTO KWENDA SHULE
![](http://4.bp.blogspot.com/-TULOsJhbarQ/UzEdT17qRGI/AAAAAAAFWHk/3mgSsZMivew/s1600/New+Picture.png)
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. MHE.RAIS AWATAKA VIONGOZI MKOANI TANGA KUSIMAMIA WATOTO KWENDA SHULE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewataka viongozi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-WMnjdfGR8bg/TzPHieqNQgI/AAAAAAAA9RI/G_EIZk8NELk/s72-c/2.jpg)
Nusu ya Watanzania wameshuhudia ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu katika ajira
heshima watu wenye ulemavu
![](http://4.bp.blogspot.com/-WMnjdfGR8bg/TzPHieqNQgI/AAAAAAAA9RI/G_EIZk8NELk/s1600/2.jpg)
4 Novemba 2014, Dar es Salaam: Karibu nusu ya wananchi (46%) wameripoti kuwahi kushuhudia ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu katika ajira. Wakati huo huo, ni wananchi wawili tu kati ya kumi (17%) waliokiri kufahamu asasi/mashirika yanayotoa upendeleo kwenye suala la kuwaajiri watu wenye ulemavu. Wananchi waliripoti kuwa miongoni mwa mashirika haya asilimia 38 ni taasisi za kiserikali. Vile vile wananchi waliripoti...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2DJGCBOBcH4/XmYe7SiYpBI/AAAAAAAA-Bk/SOHGe8e4Y5AEBZmDXyBYNvbZ4am1JGYHACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eeXPi4IWblY/U72wkxpXNZI/AAAAAAAF0SM/1YKLYITT4-E/s72-c/unnamed+(66).jpg)
JK KATIKA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-eeXPi4IWblY/U72wkxpXNZI/AAAAAAAF0SM/1YKLYITT4-E/s1600/unnamed+(66).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HEOj2p7-HXk/U72wk5v2hqI/AAAAAAAF0R8/_u4JcmIqjv0/s1600/unnamed+(67).jpg)
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) KATIKA SHULE YA MSINGI YA MATUMAINI YA JESHI LA WOKOVU ILIYOPO KURASINI
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
EXCLUSIVE INTERVIEW: ‘Ushirikina chanzo cha mauaji ya watu wenye Albinism’ — Dk. Ally Possi
Na Andrew Chale wa modewji blog
Dk. Ally Possi ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi, Dar es Salaam. Akielezea na kuchambua kwa kina kuhusiana na wimbi la mateso na mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi wenye albinism.
Mo dewjiblog, iliamua kufanya mahojiano maalum ilikukuletea wewe msomaji wetu unayeperuzi mtandao wako bora kabisa kujua na kuelewa na nini kifanyike ikiwemo mimi na wewe katika kuchukua hatua.
Suala la mauaji dhidi ya watu wenye albinism:
“JAMII yenye ushirikina...
10 years ago
Vijimambo06 Mar
EXCLUSIVE INTERVIEW: 'USHIRIKINA CHANZO CHA MAUAJI YA WATU WENYE ALBINISM' - DK. ALLY POSSI
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
Rais Kikwete katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...