Nusu ya Watanzania wameshuhudia ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu katika ajira
Watu binafsi na jamii kwa ujumla wanakiri kuwakosea
heshima watu wenye ulemavu
4 Novemba 2014, Dar es Salaam: Karibu nusu ya wananchi (46%) wameripoti kuwahi kushuhudia ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu katika ajira. Wakati huo huo, ni wananchi wawili tu kati ya kumi (17%) waliokiri kufahamu asasi/mashirika yanayotoa upendeleo kwenye suala la kuwaajiri watu wenye ulemavu. Wananchi waliripoti kuwa miongoni mwa mashirika haya asilimia 38 ni taasisi za kiserikali. Vile vile wananchi waliripoti...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
5 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziZIARA YA MHE.POSSI KATIKA VITUO, VYUO NA SHULE ZA WATU WENYE ULEMAVU MKOANI TANGA JANUARI 4, 2016
11 years ago
MichuziMAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO)
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Ndoto za watu wenye ulemavu zinapotimia
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Tamwa kuzindua jarida la watu wenye ulemavu
SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (Shivyawata), leo linatarajiwa kuzindua jarida linalojulikana kama ‘Sauti ya Siti’. Jarida hilo maalumu kwa watu wenye ulemavu, limeandaliwa na Chama cha Wanahabari...
9 years ago
Habarileo05 Dec
Jamii yashauriwa kujali watu wenye ulemavu
JAMII nchini imehimizwa kuongeza ushirikiano kwa makundi ya watu walio na mahitaji maalumu hususan wenye ulemavu kwa kuwa kufanya hivyo kutawezesha uwepo wa jamii iliyo na ustawi na yenye kujali maslahi ya kila mmoja.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Ni mwaka wa mabadiliko kwa watu wenye ulemavu
BAADA ya kumalizika mwaka 2013, baadhi ya watu wenye ulemavu wameupokea mwaka 2014 kwa matarajio makubwa, hususan katika kupigania haki zao. Wanaamini kuwa kama kuna eneo linalopaswa kusimamia haki zao,...
10 years ago
MichuziWatu wenye Ulemavu wanakabiliwa na changamoto nyingi - SVF
Shirika lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na kusaidia watu wenye mahitaji maalum (SVF) limesema watu wenye ulemavu wako milioni 4.5 lakini wanakabiliwa na changamoto kutokana na mazingira wanayoishi.
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Katibu Mkuu wa shirika hilo,Leontine Rwechungura amesema kutokana na kutambua mahitaji ya kundi la watu wenye ulemavu,wataanza kujenga miundombinu rafiki kwa wanafunzi katika shuke ya Sekondari,...