Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI ITAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KUTAFUTA RASILIMALI FEDHA ZA NDANI NA NJE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwasilisha taarifa ya Ofisi hiyo kuhusu kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotengewa fedha kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini leo Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Sadiq Murad akiongoza kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali kutoa kipaumbele uwezeshaji wanawake

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia SimbaWAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema serikali za awamu zote nne za uongozi zimekuwa mstari wa mbele wa kuhakikisha zinatoa kipaumbele katika masuala yanayohusu uwezeshaji wanawake kwenye nyanja zote ili kuleta usawa wa kijinsia.

 

9 years ago

GPL

SERIKALI KUENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WAHANDISI WAZALENDO

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Wahandisi kutoka maeneo mbalimbali nchini wakati wa ufunguzi wa Siku ya Wahandisi nchini mwaka 2015 jijini Dar es salaam. Baadhi ya Wahandisi wahitimu kutoka katika vyuo na taasisi mbalimbali wakila kiapo cha utii kwa Taaluma yao mbele ya Kamishna wa Viapo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi yanayoendelea jijini Dar es salaam.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kutafuta soko la mahindi nje

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetoa wito kwa wafanyabiashara kuchangamkia masoko ya mazao ya chakula nje ya nchi hasa mahindi kwa kuwa yapo mengi nchini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi

5

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Juma Reli akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari za Fedha na Uchumi (hawapo pichani)  wakati wa ufunguzi wa semina hiyo jana mjini Bagamoyo, Mkoani Pwani, Kulia ni Mwenyekiti wa washiriki hao Bw. Thomas Chilala na Kushoto ni Meneja Uhusiano na Itifaki wa Benki Hiyo Bi Zalia Mbeo.

Frank Mvungi- Maelezo, Bagamoyo

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa...

 

11 years ago

Michuzi

Elimu ipewe kipaumbele Ili kuwawezesha wananchi wa kusini kunufaika na rasilimali ya gesi — Norway

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Nasoro Hamid akizungumza na ujumbe toka Norway ulipofika ofisini kwake kwa lengo la kubadilishana uzoefu juu ya namna nchi hiyo ilivyoweza kunufaika kwa kuwekeza katika sekta ya gesi mnamo miaka ya 1970. Anayesaini kitabu ni Bw. Alaf Jakobson Meya wa mji wa Hammerfest nchini Norway. Meya wa mji wa Alstahaug Bw. Bard Anders akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisini kwa Meya wa mji wa Lindi Bw. Frank Magali mwenye miwani.
BOFYA HAPA...

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika aishukia Serikali utoroshaji fedha nje ya nchi

>Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeilipua Serikali kwa kushindwa kudhibiti utoroshwaji mkubwa wa fedha kwenda nje.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA YAKUBALI KUTOA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SALENDER

Muonekano wa Daraja jipya la Salenda litaakalopita baharini kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Ocean Road/ Baraka Obama Road). Daraja hilo pamoja na barabara zake, litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku huku likiwa na njia nne za magari pamoja service road njia za waenda kwa miguu kila upandeWaziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Chung Il...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ kutoa kipaumbele masomo ya gesi, mafuta

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itatoa kipaumbele kwa wanafunzi wa Kidato cha Sita kupata mikopo katika Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu kwa wanafunzi watakaopenda kusomea masomo ya rasilimali ya mafuta na gesi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji wa ndani wapewe kipaumbele

Katika kuhakikisha uwekezaji unapiga hatua nchini, Serikali imeshauriwa kuwapa kipaumbele wawekezaji wa ndani na kuacha kujali wa nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani