NBC yavuna faida kabla ya kodi
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imepata faida kabla ya kodi ya Sh14.3 bilioni kulinganisha na mwaka 2012 ilipopata Sh3.9. Hilo ni ongezeko la zaidi ya Sh10.4 bilioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBenki ya Exim yatangaza ongezeko la asilimia 35 la faida ya kabla ya kodi
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Benki ya Exim yapata faida kabla ya kodi ya asilimia 9 katika robo ya tatu 2014
Meneja Fedha Mwandamizi Benki ya Exim, Bw. Issa Hamisi (wapili kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya utendaji wa kifedha wa benki hiyo katika robo ya tatu ya mwaka ambapo faida ya benki ya kabla ya kodi imekua kwa asilimia 9 mpaka shilingi bilioni 5.4 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka jana, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Benki, Bw. George Binde, Mkuu wa Hazina, Bw. George Shumbusho (wapili kushoto) Meneja Utafiti na Chambuzi za...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
TTB yavuna faida ya Sh 400 bilioni
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Faida ya kutumia ARV kabla CD4 kupungua
NI kawaida katika nchi
zinazoendelea kwa watu waishio na virusi vya ukimwi (VVU) kutoanzishiwa
matibabu ya dawa za kufubaza virusi (ARV) hadi pale kinga za mwili (CD4) zinapopungua na kufikia seli 350 kwa kila milimita moja ya ujazo.
Nchini Tanzania, watu wenye maambukizi ya VVU na wagonjwa wa ukimwi walikuwa hawaanzishiwi dawa za ARV hadi kinga
zilipokuwa zimepungua kufikia seli 200 kwa milimita moja ya ujazo kwa hofu kuwa, kuanzisha matibabu mapema kunafanya matumizi ya ARV kuwa ya...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Misamaha ya kodi nchini ni kwa faida ya nani?
10 years ago
MichuziTRA yakutanisha Wadau kujadili Sheria Mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 kabla ya kuanza kutumika
5 years ago
MichuziWATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA AKAUNTI YA NBC MALENGO
5 years ago
MichuziWATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA NBC MALENGO
Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo ( wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwezi Januari ya kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo ambapo jumla ya washindi watano walijishindia pikipiki mpya kila mmoja. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Masuli Masudi, Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye, Meneja Kampeni ya Malengo, Mtenya Chewa na mmoja wa washindi wa bodaboda wa droo ya Disemba, Rosemary...
11 years ago
MichuziBENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NBC DIRECT