Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Misamaha ya kodi nchini ni kwa faida ya nani?

Kuna idadi kubwa ya wawekezaji kutoka nchi za nje waliopo nchini wakifanya biashara bila kulipa kodi zote zinazostahili; baadhi yao wanasamehewa, ingawa wazawa wakiwamo mama ntilie hawapewi huo msamaha licha ya ukweli kuwa wengi wao wana maendeleo duni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Matusi bungeni kwa faida ya nani?

KINACHOENDELEA ndani ya Bunge la Katiba ni aibu inayofanya wajumbe walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kupoteza heshima yao mbele ya jamii. Hali hiyo inatokana na jinsi mjadala wa rasimu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Usiri katika mikataba ni kwa faida ya nani?

Licha ya Serikali kueleza kwamba katika suala la maendeleo ni lazima wananchi washirikishwe kuanzia ngazi ya chini, bado jambo hilo limebaki kuwa hadithi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Misamaha ya kodi ni hasara’

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema misamaha ya kodi imepanda kutoka Sh1.4 trilioni mwaka 2012/13 hadi Sh1.8 trilioni mwaka 2013/14, chanzo ni misamaha ya kodi katika miradi mikubwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kina Muhabi wanafanya haya kwa faida ya nani?

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka kundi la viongozi wa vyama vitano  vya siasa visivyokuwa na uwakilishi wa wabunge bungeni na kutoa matamko mbali mbali kuhusiana na sakata la akaunti ya...

 

10 years ago

Mwananchi

TRA yalia na misamaha ya kodi

>Misamaha ya kodi imekuwa ikilikosesha taifa zaidi ya Sh100 bilioni kwa mwezi, hatua ambayo Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) inaona ni kikwazo katika kufikia malengo ya ukusanyaji kodi.

 

10 years ago

Habarileo

Misamaha ya kodi yachefua wabunge

Zitto KabweKAMATI ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali kufanya kila linalowezekana inapunguza misamaha ya kodi ambayo katika mwaka wa fedha 2013/14 ilipaa kwa Sh bilioni 340 kutoka Sh trilioni 1.48 hadi Sh trilioni 1.82 mwaka uliopita.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nitaondoa misamaha ya kodi

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amemaliza kampeni zake mkoani hapa, akiahidi kuwakaba koo wawekezaji wakubwa wanaonufaika na misamaha ya kodi isiyokuwa na tija kwa nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Washinikiza misamaha ya kodi ifutwe

WADAU wa asasi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wameishauri serikali kufuta misamaha ya kodi ili fedha zitakazokusanywa ziweze kutumika kuboresha na kuimarisha huduma za kijamii ikiwemo elimu, afya na kilimo.

 

11 years ago

Habarileo

Misamaha ya kodi yapigwa kalenda

KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imekataa kubariki Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na Muswada wa Sheria ya Utawala wa Kodi, ambayo ilikuwa iwasilishwe bungeni Jumatatu ijayo na kujadiliwa, ili misamaha ya kodi isiyo na tija ifutwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani