Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usiri katika mikataba ni kwa faida ya nani?

Licha ya Serikali kueleza kwamba katika suala la maendeleo ni lazima wananchi washirikishwe kuanzia ngazi ya chini, bado jambo hilo limebaki kuwa hadithi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Hakuna sheria ya usiri wa mikataba

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe amesema kuwa uwazi wa mikataba ya rasilimali za nchi ni suala la msingi na hakuna sheria wala sera inayokumbatia usiri wa namna hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Usiri mikataba ya gesi wazua tafrani kamati ya Zitto

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC), imetoa siku mbili kwa uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba 26 ya gesi kwa Katibu wa Bunge.

Uamuzi wa kamati hiyo umetokana na menejimenti ya TPDC kushindwa kuwasilisha mkataba hata mmoja kati ya mikataba 26 iliyoombwa na kamati hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja sasa.

Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matusi bungeni kwa faida ya nani?

KINACHOENDELEA ndani ya Bunge la Katiba ni aibu inayofanya wajumbe walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kupoteza heshima yao mbele ya jamii. Hali hiyo inatokana na jinsi mjadala wa rasimu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Misamaha ya kodi nchini ni kwa faida ya nani?

Kuna idadi kubwa ya wawekezaji kutoka nchi za nje waliopo nchini wakifanya biashara bila kulipa kodi zote zinazostahili; baadhi yao wanasamehewa, ingawa wazawa wakiwamo mama ntilie hawapewi huo msamaha licha ya ukweli kuwa wengi wao wana maendeleo duni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kina Muhabi wanafanya haya kwa faida ya nani?

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka kundi la viongozi wa vyama vitano  vya siasa visivyokuwa na uwakilishi wa wabunge bungeni na kutoa matamko mbali mbali kuhusiana na sakata la akaunti ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Mvutano ada elekezi shule binafsi kwa faida ya nani?

Kwa wiki kadhaa sasa, kumekuwapo na hali ya la kuviziana kati ya Serikali na wamiliki wa shule za binafsi nchini kutokana na kuwapa agizo la ada elekezi. Hali ilivyo ni kuwa wamiliki wanadai kutoa elimu bora na kwa gharama ndogo, huku Serikali ikiwatazama kwa hofu ya unyonyaji kupitia ada wanazotoza kwa kila mwanafunzi anayesoma kwenye shule zao.

 

5 years ago

Michuzi

Wadau wapambana kuvunja tamaduni ya usiri wa hedhi kwa wasichana katika jamii



Na Amiri kilagalila,Njombe

Jamii nchini imetakiwa kuvunja tamaduni ya usiri na kuona hedhi ni kitu cha kawaida kwa watoto wa kike hali itakayowafanya wasichana kujiamini na kujivunia wanapokuwa hedhi.

Hayo yamebainishwa na kiongozi mkuu wa mradi kutoka shirika la hamble unemployment solution in tanzania Faraja Eliezer ambaye ni mkuu wa idara ya afya na mazingira kutoka shirika hilo,walipofika kituo cha kulea watoto yatima cha Familia ya Upendo Uwemba kilichopo kijiji cha uwemba kwa ajili ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO, TCRA yataka wadau wa habari katika matumizi ya intaneti kuzingatia usiri na maadili

IMG_8938

Mwenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye jukwaa hilo kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kufungua rasmi jukwaa hilo.. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tanzania Education and Research Network (TERNET), Amos Nungu na Kushoto ni Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na...

 

9 years ago

GPL

UNESCO, TCRA YATAKA WADAU WA HABARI KATIKA MATUMIZI YA INTANETI KUZINGATIA USIRI NA MAADILI‏

Mwenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye jukwaa hilo kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kufungua rasmi jukwaa hilo. Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. Sunday Richard akifungua rasmi Jukwaa la wadau wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani