Usiri mikataba ya gesi wazua tafrani kamati ya Zitto
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC), imetoa siku mbili kwa uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba 26 ya gesi kwa Katibu wa Bunge.
Uamuzi wa kamati hiyo umetokana na menejimenti ya TPDC kushindwa kuwasilisha mkataba hata mmoja kati ya mikataba 26 iliyoombwa na kamati hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja sasa.
Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa kupitia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Zitto: Hakuna sheria ya usiri wa mikataba
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Usiri katika mikataba ni kwa faida ya nani?
10 years ago
Habarileo21 Oct
Ugawaji vijiji wazua tafrani
SUALA ya kugawanywa kwa kata, mitaa na vijiji limezua tafrani kwa baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Dodoma huku wananchi wa Nzuguni wakitaka kurejeshwa kwa kijiji ambacho kimepelekwa kata nyingine.
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Wanafunzi wazua tafrani Nkasi
WANAFUNZI wapya 52 wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Kati wilayani Nkasi, Rukwa wamefanya vurugu lililolazimisha nguvu ya polisi kutumika baada ya kuzuiwa kufanya sherehe ya kujikaribisha hadi...
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Madiwani wa CUF wazua tafrani Tanga
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Uvumi wa Noah wazua tafrani Dar
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Albino wazua tafrani Polisi Buguruni
10 years ago
Mtanzania06 Jan
AG MASAJU: Nitaanza na mikataba ya gesi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju, amesema anataka muda zaidi ili aweze kuzungumzia suala la Kampuni ya Kufua Umeme Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na mikataba ya gesi ambayo imekuwa ikitakiwa kuwekwa wazi.
Masaju aliyasema hayo jana, Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuchukua nafasi ya Jaji Frederick Werema, aliyejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye...
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
PAC yataka mikataba ya gesi
NA MARIAM MZIWANDA
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba yote ya gesi ambayo haijafanyiwa ukaguzi.
Pia imeagiza kuwasilishwa kwa taarifa za mapitio ya mikataba hiyo kesho kwa Katibu wa Bunge baada ya saa za kazi ili ifanyiwe ukaguzi kubaini utekelezaji wa miradi.
Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alisema hayo jana wakati wajumbe wa kamati hiyo walipokutana na uongozi wa TPDC.
Alisema TPDC lazima iwasilishe...