Ugawaji vijiji wazua tafrani
SUALA ya kugawanywa kwa kata, mitaa na vijiji limezua tafrani kwa baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Dodoma huku wananchi wa Nzuguni wakitaka kurejeshwa kwa kijiji ambacho kimepelekwa kata nyingine.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Wanafunzi wazua tafrani Nkasi
WANAFUNZI wapya 52 wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Kati wilayani Nkasi, Rukwa wamefanya vurugu lililolazimisha nguvu ya polisi kutumika baada ya kuzuiwa kufanya sherehe ya kujikaribisha hadi...
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Uvumi wa Noah wazua tafrani Dar
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Madiwani wa CUF wazua tafrani Tanga
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Albino wazua tafrani Polisi Buguruni
10 years ago
Mtanzania28 Oct
Usiri mikataba ya gesi wazua tafrani kamati ya Zitto
![Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Zitto-Kabwe.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC), imetoa siku mbili kwa uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba 26 ya gesi kwa Katibu wa Bunge.
Uamuzi wa kamati hiyo umetokana na menejimenti ya TPDC kushindwa kuwasilisha mkataba hata mmoja kati ya mikataba 26 iliyoombwa na kamati hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja sasa.
Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa kupitia...
10 years ago
Mtanzania13 May
Wabunge wapinga ugawaji wa majimbo
Na Khamis Mkotya, Dodoma
BAADHI ya wabunge wamekosoa mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi huku baadhi yao wakisema Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), imekurupuka katika jambo hilo.
Wakizungumza na MTANZANIA katika viwanja vya Bunge jana, wabunge hao walisema hawaoni sababu za tume kugawa majimbo katika kipindi hiki ikizingatiwa umebaki muda mfupi uchaguzi ufanyike.
Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (Chadema), alisema lengo la kugawa majimbo ni jambo jema, lakini tatizo ni muda na...
10 years ago
Habarileo01 Jan
Tunapokea maoni ugawaji majimbo - ZEC
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema bado inaendelea na mchakato wa kupokea maoni na kuyachambua kuhusu ugawaji wa majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Ugawaji wa majimbo uzingatie bajeti yetu
10 years ago
Habarileo19 Jun
Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi mwezi ujao
UGAWAJI wa majimbo mapya ya uchaguzi yanatarajia kutangazwa mapema mwezi ujao na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).