Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto: Hakuna sheria ya usiri wa mikataba

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe amesema kuwa uwazi wa mikataba ya rasilimali za nchi ni suala la msingi na hakuna sheria wala sera inayokumbatia usiri wa namna hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Usiri mikataba ya gesi wazua tafrani kamati ya Zitto

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC), imetoa siku mbili kwa uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba 26 ya gesi kwa Katibu wa Bunge.

Uamuzi wa kamati hiyo umetokana na menejimenti ya TPDC kushindwa kuwasilisha mkataba hata mmoja kati ya mikataba 26 iliyoombwa na kamati hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja sasa.

Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa kupitia...

 

10 years ago

Mwananchi

Usiri katika mikataba ni kwa faida ya nani?

Licha ya Serikali kueleza kwamba katika suala la maendeleo ni lazima wananchi washirikishwe kuanzia ngazi ya chini, bado jambo hilo limebaki kuwa hadithi.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta: Sheria ya gesi itadhibiti mikataba mibovu

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema sheria ya gesi inayotarajiwa kufikishwa bungeni mwishoni mwa mwaka huu itakuwa nguzo katika usimamizi wa mikataba yote ya nishati hiyo ili kulinufaisha taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba ije na sheria ya Bunge kuidhinisha mikataba yote

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Cecilia Paresso, ameshauri kuingizwa kifungu katika rasimu ya Katiba ambacho kitalazimisha Serikali kuifikisha bungeni mikataba yote ya kimataifa ili kuridhiwa bungeni.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.


Na Bashir YakubWiki  iliyopita  niliandika  kuhusu  Asilimia kumi ambayo  serikali  za mitaa huwa  wanaidai  hasa  maeneo  ya  mijini baada  ya  wahusika  kuwa wameuziana nyumba au  kiwanja. Nikasema  wazi  kabisa  bila  kungata  meno  kuwa  hiyo  pesa iitwayo asilimia kumi au pesa nyingine yoyote   mtu  atakayolipa  serikali  za  mitaa eti  kwakuwa amenunua  au  ameuza   eneo  lake   ni rushwa. Na  leo  nakumbusha na  kusisitiza  tena   kuwa  Watanzana wajue   ukitoa   pesa  ile   umetoa ...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ametaja sababu tano za kujiunga na chama cha ACT-Tanzania huku akijigamba kuwa yeye ni mchapakazi na kwamba sasa mambo yote ni mbele kwa mbele.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

10 years ago

Dewji Blog

UDSM yawatunukia tuzo Dr. Mengi, Millard Ayo, Sheria Ngowi, Diamond Platinumz na Zitto Kabwe

Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) Ndg. Docta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6  hapa chuoni  UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA. Mlezi wa chama cha wanafunzi   wanaosoma masomo ya biashara na masoko kutoka chuo kikuu UDSM Ndg...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.

Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani