Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ametaja sababu tano za kujiunga na chama cha ACT-Tanzania huku akijigamba kuwa yeye ni mchapakazi na kwamba sasa mambo yote ni mbele kwa mbele.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

ACT-Tanzania kumshawishi Zitto kujiunga nao

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMWANACHAMA wa chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), Dk Kitila Mkumbo, amesema atahakikisha anazungumza na viongozi wa chama hicho, ili wamshawishi mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ajiunge na chama hicho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zitto Kabwe asema ACT Wazalendo haina hata chembe ya ufisadi, yawataka wananchi kukichagua

ZITO

Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Peoples Club Mjini Singida.

MGHWIRA

Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Mjini kupitia ACT, Anna Mghwira.

MKUU MSAFARA

Mratibu wa ziara za viongozi wa ACT nchini Karama Kaila.

MKITI

Mwenyekiti wa ACT Mkoa wa Singida.

KATIBU

Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Singida akizungumza kwenye mkutano huo.

BABA

Zitto Kabwe akisalimiana na baba mzazi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Mjini Mzee Mghwira.

WANANCHI

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Kurudi nyuma si kujisalimisha ni kujipanga

>Wakati Serikali ilipotangaza nia ya kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba, wananchi wengi walifurahia wakijua kuwa angalau sasa yale matatizo ambayo yamekuwa yakihusishwa na udhaifu wa nyaraka hiyo muhimu yataisha.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo Movies

Davina Ataja Sababu Kuanika Upaja!

MWIGIZAJI ambaye inaaminika kwa muda mrefu hajawahi kuvaa nguo yenye mpasuo kiasi cha mapaja yake kuonekana, Halima Yahya ‘Davina’, amefunguka kuwa kwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita alilazimika kuvaa nguo iliyoonesha sehemu ya paja lake kutokana na mazingira ya pati ya mwigizaji mwenzake, Wema Sepetu ‘Madam’.

Akielezea vazi hilo alilolitinga katika sherehe ya kuzaliwa ya Madam, Davina alisema kwa mazingira ya pati hiyo yenye hadhi ya aina yake, alilazimika kuvaa nguo hiyo ili kuendana...

 

10 years ago

GPL

WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE

Wtaa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma. Na Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) huko Morogoro Vijijini alikozaliwa, staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza kwamba ameamua kufanya hivyo ili kuwatetea walemavu na watoto wa kike. Akipiga stori na Ijumaa, Wastara alisema wananchi ambao ni walemavu wamekuwa hawatendewi haki...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA

Na Erick Evarist
STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha. Staa wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba...

 

9 years ago

GPL

DAVINA ATAJA SABABU KUANIKA UPAJA!

Gladness mallya MWIGIZAJI ambaye inaaminika kwa muda mrefu hajawahi kuvaa nguo yenye mpasuo kiasi cha mapaja yake kuonekana, Halima Yahya ‘Davina’, amefunguka kuwa kwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita alilazimika kuvaa nguo iliyoonesha sehemu ya paja lake kutokana na mazingira ya pati ya mwigizaji mwenzake, Wema Sepetu ‘Madam’. Akielezea vazi hilo alilolitinga katika sherehe ya kuzaliwa ya Madam,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani