Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT-Tanzania kumshawishi Zitto kujiunga nao

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMWANACHAMA wa chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), Dk Kitila Mkumbo, amesema atahakikisha anazungumza na viongozi wa chama hicho, ili wamshawishi mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ajiunge na chama hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ametaja sababu tano za kujiunga na chama cha ACT-Tanzania huku akijigamba kuwa yeye ni mchapakazi na kwamba sasa mambo yote ni mbele kwa mbele.

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa Kwa Umma Kutoka Cham Cha ACT-TANZANIA Kuhusu Zitto Kabwe na Chama Cha ACT- Tanzania

ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY. --Ndugu wanahabari kumekuwa na utaratibu wa habari zinazoupotosha umma wa watanzania kuhusu chama chetu cha ACT-Tanzania.
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha watanzania wote kisichokuwa na mmilki wake na tunaunganishwa na misingi kumi ya chama pamoja na Itikadi yetu ya Demokrasia...

 

9 years ago

Habarileo

ACT yashindwa kumshawishi Nyari CCM yampitisha

JITIHADA za viongozi wa juu wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa na mkoani Arusha za kumshawishi mfanyabiashara wa madini Arusha, Justini Nyari kugombea kiti cha ubunge Jimbo la Arusha Mjini, zimeshindikana.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

CHAMA CHA ACT - TANZANIA CHAKANUSHA KUMILIKIWA NA ZITTO KABWE

ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari kumekuwa na utaratibu wa habari zinazoupotosha umma wa Watanzania kuhusu chama chetu cha ACT-Tanzania. Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA". Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha Watanzania wote...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE ACHAGULIWA KUWA MKUU WA CHAMA CHA ACT TANZANIA

Kiongozi mpya wa chama cha ACT Tanzania, Zitto Kabwe akionyesha alama ya chama ambayo ni "Uwazi" baada ya kuchaguliwa.      Zitto akihutubia wajumbe.                 Zitto akihutubia wajumbe wakati wa uchaguzi huo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: Zitto ajiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania, akabidhiwa kadi namba 007194

_MG_7774

Mh. Zitto Kabwe akilipa kwa ajili ya usajili wa kadi ya uanachama wa ACT.

...Kumwaga ‘mboga’ mbele ya wandishi wa Habari Jumapili hii Machi 22

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Hayawi hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya leo Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIBUDA AKANUSHA KUJIUNGA NA ACT


John Shibuda  Dar es Salaam Yetu blogMbunge wa Maswa Magharibi (CHADEMA), JOHN Shibuda amekataa kuhusishwa na Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), akisema hana mpango wa kujiunga nacho.

Shibuda ambaye ameshatangaza kutogombea ubunge kupitia CHAsdemA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, amesema “pamoja na kusema sitagombea kupitia CHADEMA lakini nisilishwe maneno…siendi kwenye chama hicho cha ACT.”

Kauli ya Shibuda imeondoa uvumi ulioenea kwamba angejiunga na ACT baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani