Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIBUDA AKANUSHA KUJIUNGA NA ACT


John Shibuda  Dar es Salaam Yetu blogMbunge wa Maswa Magharibi (CHADEMA), JOHN Shibuda amekataa kuhusishwa na Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), akisema hana mpango wa kujiunga nacho.

Shibuda ambaye ameshatangaza kutogombea ubunge kupitia CHAsdemA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, amesema “pamoja na kusema sitagombea kupitia CHADEMA lakini nisilishwe maneno…siendi kwenye chama hicho cha ACT.”

Kauli ya Shibuda imeondoa uvumi ulioenea kwamba angejiunga na ACT baada...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Dewji Blog

Drogba akanusha madai ya kujiunga na Chelsea wakati huu ambao ligi ya Marekani MLS imemalizika!

drog_1547796a Drobga

Na Rabi Hume wa Modewjiblog na Mashirika ya Habari.

Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba (37) anayekipiga kwa sasa katika kblabu ya Montreal Impact inayoshriki ligi kuu ya Marekani MLS amekanusha uvumi uliokuwa umeanza kusambaa kuwa mchezaji huyo atajiunga na klabu yake ya Chelsea kwa mkataba wa muda mfupi wakati huu ambao ligi kuu ya Marekani imesimama.

Akizungumza na Kituo cha Habari cha Ufaransa (AFP), Drogba amesema taarifa hizo siyo sahihi kuwa atajiunga kwa muda...

 

10 years ago

Habarileo

ACT wakana kujiunga na Ukawa

CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimesema kinaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kuungana na chama chochote cha siasa kwa sababu wanaamini itikadi za vyama hivyo haiendani na itikadi yao.

 

10 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo waomba kujiunga Ukawa

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mgwira amesema chama hicho hakina matatizo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na hata sasa kinasubiri majibu ya barua yao waliyoituma kwa umoja huo kuomba kuunganishwa.

 

11 years ago

Habarileo

ACT-Tanzania kumshawishi Zitto kujiunga nao

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMWANACHAMA wa chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), Dk Kitila Mkumbo, amesema atahakikisha anazungumza na viongozi wa chama hicho, ili wamshawishi mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ajiunge na chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ametaja sababu tano za kujiunga na chama cha ACT-Tanzania huku akijigamba kuwa yeye ni mchapakazi na kwamba sasa mambo yote ni mbele kwa mbele.

 

9 years ago

Michuzi

MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema wakati sasa umefika kwa wasanii kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, badala ya kuendelea kuchangishana fedha za matibabu kila wanapougua.
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MUHEZA WAHAMASIKA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII, ZAIDI YA KAYA 65 ZENYE WANACHAMA 390 WAHAMASIKA NA KUJIUNGA PAPO HAPO

  Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira Mgalu kushoto akipokea risiti ya malipo mara baada ya kujiunga kuwa mwanachama wa mfuko wa afya ya Jamii (CHF) leo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika kwenye Kata ya Potwe wilayani humo anayemkabidhi risiti hiyo ni Afisa Tabibu wa Zahanati ya Potwe wilayani humo Dr.Samweli Mudhihiri ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390 walihamasika na kujiunga papo hapo. PICHA ZOTE NA OSCAR ASSENGA,TANGA.  Picha namba moja ni  Mkuu wa wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani