ACT wakana kujiunga na Ukawa
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimesema kinaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kuungana na chama chochote cha siasa kwa sababu wanaamini itikadi za vyama hivyo haiendani na itikadi yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 May
ACT-Wazalendo waomba kujiunga Ukawa
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboSHIBUDA AKANUSHA KUJIUNGA NA ACT
Shibuda ambaye ameshatangaza kutogombea ubunge kupitia CHAsdemA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, amesema “pamoja na kusema sitagombea kupitia CHADEMA lakini nisilishwe maneno…siendi kwenye chama hicho cha ACT.”
Kauli ya Shibuda imeondoa uvumi ulioenea kwamba angejiunga na ACT baada...
11 years ago
Habarileo07 May
ACT-Tanzania kumshawishi Zitto kujiunga nao
MWANACHAMA wa chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), Dk Kitila Mkumbo, amesema atahakikisha anazungumza na viongozi wa chama hicho, ili wamshawishi mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ajiunge na chama hicho.
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma
10 years ago
Mtanzania05 May
ADC: Hatuko tayari kujiunga na Ukawa
NA AZIZA MASOUD, TANGA
CHAMA cha siasa cha ADC, kimesema hakiwezi kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa umoja huo una lengo la kuua vyama vidogo vya siasa.
Akizungumza katika viwanja vya Kwediboma wilayani Kilindi, mkoani Tanga juzi, Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Said Miraji, alisema Ukawa wana lengo la kuvidhoofisha vyama vidogo kupitia mpango wao wa kugawana majimbo kwa sera ya maeneo wanayokubalika.
“Ukawa wameonyesha udhaifu mkubwa wa kugawana majimbo kwa hoja ya...
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Lowassa atangaza rasmi kujiunga na Ukawa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3XKn0FD80-w/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Balozi Mwapachu arudisha kadi atangaza kujiunga Ukawa